Nimechaguliwa kwa furaha na kishindo

hongera sana,sikujua kama wajumbe wa nyumba kumi bado wapo,itabidi nami niulize hapa mtaani kwetu nimjue ni nani!
hv kweli yale maisha ya wanandoa kwenda kupeleka kesi kwa mjumbe bado yapo!
duu!

Yapo Kaka mie kuna mzee mmoja tunafanya nae kazi ni Mjumbe Buguruni aliniambia aliwahi kususiwa mke wa mtu usiku wa manane sasa huo si msala kumpa hifadhi mke wa mtu ili japo kesho asubuhi mumewe atakapoa hasira zake arudi nyumbani. Ewe Nguli muombe mungu aepushie mbali ugomvi wa ndoa kama huo. Amen
 
hongera sana
inaonekana una leadership quality
ambazo wewe mwenyewe hujazitambua.
wengine wameziona....
 
"Nguli" inawezekana ni katoto kadogo kanachezea tarakishi nyumbani halafu watu wazima, kama kawaida ya Watanzania walivyorahisi kuamini amini vitu ovyo, wanaunga tela na kumwaga pongezi kibao. Mgombea anaitwa "Nguli"!
 
Mkuu Nguli,kwanini umekubali?Au unajiona unaiweza kazi hiyo?Jihadhari sana na rushwa,kazi hiyo ina rushwa mbaya sana kuanzia kesi za ubakaji,ugomvi,ngono etc.zinategemea ukweli wako kwanza.
Kumbe viongozi wetu wanaosemaga hawakutaka kugombea na wala hawakugombea huwa ni kweli, nitakuja niwashauri hao wazee waungane na wenzao wa DSM wakuombe uwe Raisi wetu kupitia chama fulani-nina imani hutotuangusha -maana umeanza vyema!:smile-big:

Niliwaza nikafikiri ......I am the change that people want to see. (probably)

hongera sana,sikujua kama wajumbe wa nyumba kumi bado wapo,itabidi nami niulize hapa mtaani kwetu nimjue ni nani!
hv kweli yale maisha ya wanandoa kwenda kupeleka kesi kwa mjumbe bado yapo!
duu!

Bado wajumbe wapo ukipata kesi utawafahamu tu. Sijui ya wanandoa kupeleka kesi kwa wajumbe kama bado lipo nitawaletea feedback yakinisibu.

Kwa msaada wa MUNGU WAKUU HUTAWALA Mithali ....
hongera sana .....kesi zinazosuluhishwa na wajumbe wa 10 cells zinahitaji uzoefu wa familia unazoongoza do not worrryyyyy hazitakushinda km unawajua vema watu wako na matatizo yao

mix with yours

Umezungumza point kubwa sana hata Obama alitishiwa kuwa atauwawa lakini hakusitisha thamira yake ya kwenda ikulu

Yapo Kaka mie kuna mzee mmoja tunafanya nae kazi ni Mjumbe Buguruni aliniambia aliwahi kususiwa mke wa mtu usiku wa manane sasa huo si msala kumpa hifadhi mke wa mtu ili japo kesho asubuhi mumewe atakapoa hasira zake arudi nyumbani. Ewe Nguli muombe mungu aepushie mbali ugomvi wa ndoa kama huo. Amen

THIs is the big challenge in this task

hongera sana
inaonekana una leadership quality
ambazo wewe mwenyewe hujazitambua.
wengine wameziona....

Asante the Boss kwa kunipa moyo naamini unachokisema kwa vile wewe ni mtu wa kusoma sana vitabu

Great nguli., all the best

Asante sana

Hivi jumbe wa nyumba kumi huwa anateuliwa?

Ndio

Dah!!

Mafanikio makubwa kweli ndugu yangu; hongera sana.

Asante sana ndugu yangu nimeongeza CV yangu.

"Nguli" inawezekana ni katoto kadogo kanachezea tarakishi nyumbani halafu watu wazima, kama kawaida ya Watanzania walivyorahisi kuamini amini vitu ovyo, wanaunga tela na kumwaga pongezi kibao. Mgombea anaitwa "Nguli"!

NITAKE RADHI HARAKA :mad2:

hongera Nguli

Asante sana -Aika mnoru oko
 
Sasa kesi ya kumshtaki mama mwenye nyumba wako ulipopanga ikiletwa kwako, sidhani kama haki itatendeka kwa upande wa mashtaka! Ukijidai kumkandamiza mwenye nyumba, ujiandae kuhama (pengine hutapata nyumba mtaa huo huo na utapoteza wadhifa) !

Kama Shelukindo alimvyomshitaki Januari kwa Yusufu....all MAKAMBAS
 
Originally Posted by Safari_ni_Safari
Kama Shelukindo alimvyomshitaki Januari kwa Yusufu....all MAKAMBAS

Hii kesi sihifahamu

Ipo humu...na barua ya Shelukindo ipo pia
 
ha ha ha naahidi sitakula rushwa ila kesi ya infedility nitakuwa sina huruma nayo kwa raia yeyote
kuna watu walikuona na bahasha za kaki nyingi ukigawia wajumbe kabla ya mchakato wa uchaguzi!....
una namba ya hosea nimpigie aje huko unakoishi TANDALE-UZURI akuchunguze?
 
kuna watu walikuona na bahasha za kaki nyingi ukigawia wajumbe kabla ya mchakato wa uchaguzi!....
una namba ya hosea nimpigie aje huko unakoishi TANDALE-UZURI akuchunguze?

Mimi wamenipitisha juzi tu jana ndio nimesimikwa rasmi uraisi wa nyumba kumi. Ila wasi wasi wangu ni kuwa hapa mtaani kila mtu ngumi jiwe siku ugomvi ukianguka nitapona kweli?
 
Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa wamenichagua kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Aliyekuwepo wamemtoa kwa sababu ya ulevi na kutokutumikia wananchi katika eneo lake la nyumba kumi. Naona sasa safari ya kuwa mbunge inaninyemelea.

Ila sheria inasemaje kwa mtu mpangaji kuwa mjumbe si ninaweza kupigwa notice at any moment nikapotea au nikahama kwa hiari yangu mwenyewe kutafuta nyumba au makazi ya bei rahisi?

Kwa hiyo ndugu wana JF naombeni pongezi zenu. Wazungu wanasema rome was not built at a day au safari ya hatua 1,000,000,000 ilianza na hatua 1.

Mjumbe wa nyumba kumi mikumi str.
Hivi ni ile mitaa ya kina Banana Zoro
 
Back
Top Bottom