NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 652
Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa wamenichagua kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Aliyekuwepo wamemtoa kwa sababu ya ulevi na kutokutumikia wananchi katika eneo lake la nyumba kumi. Naona sasa safari ya kuwa mbunge inaninyemelea.
Ila sheria inasemaje kwa mtu mpangaji kuwa mjumbe si ninaweza kupigwa notice at any moment nikapotea au nikahama kwa hiari yangu mwenyewe kutafuta nyumba au makazi ya bei rahisi?
Kwa hiyo ndugu wana JF naombeni pongezi zenu. Wazungu wanasema rome was not built at a day au safari ya hatua 1,000,000,000 ilianza na hatua 1.
Mjumbe wa nyumba kumi mikumi str.