Nimechaguliwa kusoma vyuo viwili kimoja ni cha 14 na kingine ni cha 122 duniani kwa ubora vyote ni "fully funded scholarship"

Nipo njia panda ni mwezi sasa, sijui niende chuo gani. Usiku na mchana nachakata ubongo wangu kisha nalala.

Katika kufanya application za vyuo mbalimbali duniani nimebahatika kuchaguliwa vyuo viwili.

Chuo kimoja ni cha 14 kwa ubora duniani, ila nikiwa nasoma chuo hicho nitakua nikilipwa kama milioni 2 na nusu kwa mwezi kama fedha ya kujikimu.

Hiki kingine nicha 122 kwa ubora duniani ila nikiwa hapo nitakua nalipwa milioni tatu na nusu kwa mwezi pamoja na marupurupu mengine.

Nipo hapa jamani, kuomba ushauri nifuate njia ipi. Je niende hicho cha 14 kwa ubora duniani au niende hicho cha 122?
Unafuata elimu au pesa? Kama unafuata elimu, nenda hicho cha 14 kwa ubora, ila kama unafuata pesa, nenda hicho cha 122 kwa ubora
 
Sweden ndio chaguo sahihi kwa upande wa gharama rafiki za maisha.... hakuna ubaguzi... watu wa Scandinavia wanamioyo myeupe sana
Natamani sana siku nikasome huku, nafikaje sasa na tu GPA twangu twa kulumangia ndio shughuli
 
Back
Top Bottom