Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,254
Ahsante kwa ushauri rafiki122.in word rank bado ni juu
Hakuna ubaguzi kweli huko, maana hizo nchi ambazo hazina watu weusi ni changamoto kuishi.Ebu njoo PM chap
Hiyo avatar yako nimeielewa
Ila nakushauri uje huku Sweden maisha ni matamu sana hutajuta
Kinacho fanya uchakate kichwa ni tofauti ya 1 millions na marupurupu au rank za chuo ?Nipo njia panda ni mwezi sasa, sijui niende chuo gani. Usiku na mchana nachakata ubongo wangu kisha nalala...
Tutolee upuuzi huku...Achana na kukagua majina ya jamii forum au kutaka kumpeleleza mtu kwa sheria za jamii forum ni kosa. Sheria ya confidential ikivunjwa kuna adhabu zake. Nakusisitiza uwe unasoma tu mada zinazoandikwa chukua maarifa au toa michango.
Vyote viwili kwa pamoja, rafiki.Kinacho fanya uchakate kichwa ni tofauti ya 1 millions na marupurupu au rank za chuo ?
SawaTutolee upuuzi huku...
Kama una nidhamu ya matumizi ya pesa vizuri, na kichwani zina charge nenda namba 14.Vyote viwili kwa pamoja, rafiki.
VitajeNipo njia panda ni mwezi sasa, sijui niende chuo gani. Usiku na mchana nachakata ubongo wangu kisha nalala...
Shukrani kwa ushauriKama una nidhamu ya matumizi ya pesa vizuri, na kichwani zina charge nenda namba 14.
Unaweza kuangalia kwenye world rank 2022/2023Vitaje
Kumbe wewe ni kijana mpuuzi kwa comment hiyoAchana na kukagua majina ya jamii forum au kutaka kumpeleleza mtu kwa sheria za jamii forum ni kosa. Sheria ya confidential ikivunjwa kuna adhabu zake. Nakusisitiza uwe unasoma tu mada zinazoandikwa chukua maarifa au toa michango.
SawaKumbe wewe ni kijana mpuuzi kwa comment hiyo
Waswahili nimewashindwa kwa kubadilisha taarifa, mleta mada kwenye kichwa cha mada kaandika chuo ni cha 14 lakini ndani ya habari yenyewe kaandika ni cha 15.Hizo funds zinakuwaga almost the same kulingana na gharama za maisha za nchi husika. Chuo cha 12 kinaonekana ni very reputable, kama course ni unayoipenda basi nenda hicho
Na mimi nakubaliana na wewe, tushike lipi? Chuo cha 14 au 15?Hii chai..!!