Nimebakwa na wanawake watatu

Nimebakwa na wanawake watatu

Wewe ulijuaje kama na wao watatu na sio Housegirl? Si umesema umepewa juice ukalala?
But hii story ni nzuri, mtafute Shigongo
Mkuu stori haina uzuri wowote sababu haina ubunifu...haifikirishi,haisisimui,haichekeshi..we mtu unakata moto afu dyudyu inasimama na kudumbukia kwa wanawake watatu???hata mwanangu shishi ukimuadithia atakucheka.otherwise atuambie aliliwa 0713....
 
Mkuu huyu amepania kufurahisha baraza, hakuna ukweli wowote, kisayansi uwezi kufanya mambo ya ngono na mwathirika alafu baada ya wiki moja ukaonekana umehambukizwa virusi - stori nzima amekaa kaa Kishogongo Shigongo vile!!
We unawaza mbali. nilisema naenda nao wote tupime ukimwi ili nikijua wameathirika au mmoja wapo basi na mimi nijue nishaukwaa ila tumetoka muda si mrefu sasa na wote wako salama sasa napanga kuwaadhibu pale ntakapoona ni sawa japokua wamenibembelleza sana ila hakuna huu ni udhalilishaji hata sisi tunakereka, embu fikiiri ingekua ni mwanamke mmemfanyia hivi si angeenda kushtaki polisi?
 
Mimi sio mtaalamu ila najua DNA ina detect hawa wadudu few hours after sex.
 
Kumbuka mada hii aikuletwa na wewe jamvini in other words you are not advocate wa BigGift consequently uwezi kuzungumza on his behalf.

Kuhamaki kwako kunaonyesha ujiamini unacho zungumza, hapa tunanungumzia Biolojia ya above O-Level, kama unashindwa kutofautisha baina ya binadamu ambaye yuko totally unconscious na binadamu aliye wekewa Regional/local anaesthesia nafikiri kuna tatizo further down the line - si bure!!
KATAA au UKUBALI Mwanaume aliyekamilika akiwa usingizini lazima UUME USIMAME
 
We unawaza mbali. nilisema naenda nao wote tupime ukimwi ili nikijua wameathirika au mmoja wapo basi na mimi nijue nishaukwaa ila tumetoka muda si mrefu sasa na wote wako salama sasa napanga kuwaadhibu pale ntakapoona ni sawa japokua wamenibembelleza sana ila hakuna huu ni udhalilishaji hata sisi tunakereka, embu fikiiri ingekua ni mwanamke mmemfanyia hivi si angeenda kushtaki polisi?
Mkuu ongea nao kiutu uzima muyamalize kwani hiyo ni siri yenu tu. Usiwalipizie kisasi kama unavyotaka huenda muda wote uliokuwa nao walikuwa wanakuchukulia kama mpenzi wao ila wakawa hawakuelewi wakahisi pengine unamatatizo kwenye nyeti zako licha ya kuwa na Familia yako, ongea nao kwa upole uwaulize kwa nini wamekufanyia hivyo ili ujue sababu hasa nini kisha ndo uchukue hatua unayotaka
 
Mmmh kama ulikuwa umezimia sasa ilisimama vipi mpaka wakajiridhisha, nenda hospitali ukacheki afya yako, isije ikawa wewe umebakwa na wanaume na sio wao, mana ile ikilala kazi zinafanyika kweli??
 
Mi natamani sana nikutane na mwanamke mbakaji nione atanifanya nini

Kwamba nabakwa halafu napiga kelele hhahahahah haileti sense kabisa .
Nabakwa na wanawake ninaanza kulialia! Siwezi mie. C wamenipenda? Wote ntawadhibiti nikiwa na akili timamu. Mmoja mmoja ama wote kwa mkupuo. Wao c wahuni bw! Hawakuwa na haja ya kufanya mambo hayo kwa hila. Mtu anasema tu wazi tunamalizana. Ishu ya starehe ad mwanaume ulalamike!
Haya, sasa yametokea, utawafanyaje? Af'wewe inaonekana mtu wa kanisani sana'eeh?
 
Nia marafiki wa tatu tumefahamiana toka mwaka juzi, wadada wawili wa kike mapacha na dada yao wametofautiana miaka miwili.

Tumekua tukibadilishana mawazo na kusaidiana pale msaada unapohitajika mfano kama kutafuta mafundi ujenzi, umeme nashughuli nyingine ambazo wao wanawake huwa wanamtegemea mwanaume.

Kwa nafasi niliyonayo nimekua kama msaidizi wao wa karibu sana. Siwezi kuorodhesha yote niliyowafanyia ni mengi mno ila akilini mwangu nilijua ni watu wangu tuu wa karibu hivyo maisha yamesonga hadi sasa.

Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili na mke. Leo mchana waliniita wakaniambia nikawapige tafu basi mimi nikaaga nikaenda. Kufika nikawakuta wako mezani wanakula, wakanikaribisha mimi nikaendelea kidogo kwa sababu nilikua nimetoka kula mda sio mrefu.

Nikawaambia wanipe juice niwasindikize kidogo. Basi wakafanya hivyo baada ya dk kadhaa juice ikaingia mimi nikaanza kunywa mdogo mdogo. Nakumbuka tulitumia zaidi ya nusu saa, tukipiga stori za hapa na pale.

Nikaanza kujisikia siko fresh nikawaambia ngoja nilale hapa kwenye kochi halafu nyie mkiwa sawa nishtueni twende. Huko ndo nilipotea kabisa nikaja kushtuka mida ya sa kumi na moja niko hoi.

Any way kilichonikuta leo nawahakikishia nitamwadhibu mmoja baada ya mmoja hadi nafsi yangu iridhike. Yani hawa wamenidhalilisha kiasi hiki? Hapana hii ni siri yangu na wao kama wako huku msome huu uzi lazima niwafanye mbaya tuu. Mimi sio wa kufanyiwa huo upuuzi.

Na kwanzia sasa sina mda na nyie. Nimekua nikiwasaidia kama ndugu zangu leo hii mnanivua nguo na kunifanya kama mume wenu wanawake wa tatu? Na hapo mnajua mimi ni mume wa mtu?

Hapana uchungu nilio nao lazima nitawafikisha pabaya.
Hebu toka huko, kalishe ng'ombe ule upumzike. Ulizima sasa ulidindishaje au umebakwa kinyume maana mabinti wana sex toys siku hizi.
 
We unawaza mbali. nilisema naenda nao wote tupime ukimwi ili nikijua wameathirika au mmoja wapo basi na mimi nijue nishaukwaa ila tumetoka muda si mrefu sasa na wote wako salama sasa napanga kuwaadhibu pale ntakapoona ni sawa japokua wamenibembelleza sana ila hakuna huu ni udhalilishaji hata sisi tunakereka, embu fikiiri ingekua ni mwanamke mmemfanyia hivi si angeenda kushtaki polisi?
Kwani kama wao wanangoma, ukiwafyagia ni lazima uathirike?
 
KATAA au UKUBALI Mwanaume aliyekamilika akiwa usingizini lazima UUME USIMAME

Jamani mkoje, muhusika akuwa usingizini alikuwa amepoteza fahamu, kama uwezi kutofautisha kupoteza fahamu na kuwa usingizini basi nakushauri waulize madaktari, maanake naona ubishi wako unakosa mantiki.
 
Nia marafiki wa tatu tumefahamiana toka mwaka juzi, wadada wawili wa kike mapacha na dada yao wametofautiana miaka miwili.

Tumekua tukibadilishana mawazo na kusaidiana pale msaada unapohitajika mfano kama kutafuta mafundi ujenzi, umeme nashughuli nyingine ambazo wao wanawake huwa wanamtegemea mwanaume.

Kwa nafasi niliyonayo nimekua kama msaidizi wao wa karibu sana. Siwezi kuorodhesha yote niliyowafanyia ni mengi mno ila akilini mwangu nilijua ni watu wangu tuu wa karibu hivyo maisha yamesonga hadi sasa.

Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili na mke. Leo mchana waliniita wakaniambia nikawapige tafu basi mimi nikaaga nikaenda. Kufika nikawakuta wako mezani wanakula, wakanikaribisha mimi nikaendelea kidogo kwa sababu nilikua nimetoka kula mda sio mrefu.

Nikawaambia wanipe juice niwasindikize kidogo. Basi wakafanya hivyo baada ya dk kadhaa juice ikaingia mimi nikaanza kunywa mdogo mdogo. Nakumbuka tulitumia zaidi ya nusu saa, tukipiga stori za hapa na pale.

Nikaanza kujisikia siko fresh nikawaambia ngoja nilale hapa kwenye kochi halafu nyie mkiwa sawa nishtueni twende. Huko ndo nilipotea kabisa nikaja kushtuka mida ya sa kumi na moja niko hoi.

Any way kilichonikuta leo nawahakikishia nitamwadhibu mmoja baada ya mmoja hadi nafsi yangu iridhike. Yani hawa wamenidhalilisha kiasi hiki? Hapana hii ni siri yangu na wao kama wako huku msome huu uzi lazima niwafanye mbaya tuu. Mimi sio wa kufanyiwa huo upuuzi.

Na kwanzia sasa sina mda na nyie. Nimekua nikiwasaidia kama ndugu zangu leo hii mnanivua nguo na kunifanya kama mume wenu wanawake wa tatu? Na hapo mnajua mimi ni mume wa mtu?

Hapana uchungu nilio nao lazima nitawafikisha pabaya.

Kapime ukimwi.
Wajinga wote ndio tabia yao, wanatafuta laana.
Watu wa dizaini hiyo uteseka sana maishani.
Uishi kwa TABU NA MATESO, kudharauliwa, kutukanwa nk.
Washtakie kwa mungu tu, kisha ni kuachana nao.
Songa mbele na maisha ndugu, kisasi ni kibaya sana, maana utaua mtu bure uharibu maisha ya watoto wako.

Ukiwa na watoto lazma uwe makini sana, na achana kuzoeana na washenz type ambao hawajui kuzaa wala kulea.
Tulia na mkeo na watoto wako.
Kama walipanga kukuharibu, basi sema asante umejifunza kitu muhimu sana maishani.
 
We unawaza mbali. nilisema naenda nao wote tupime ukimwi ili nikijua wameathirika au mmoja wapo basi na mimi nijue nishaukwaa ila tumetoka muda si mrefu sasa na wote wako salama sasa napanga kuwaadhibu pale ntakapoona ni sawa japokua wamenibembelleza sana ila hakuna huu ni udhalilishaji hata sisi tunakereka, embu fikiiri ingekua ni mwanamke mmemfanyia hivi si angeenda kushtaki polisi?

BigGift bwana! Nikushauri kitu mkuu, ka andeki vitabu vya adithi utapiga hela ndefu sana una kipaji.
 
Kibailojia mwanaume habakwi kwa sababu hadi adhamirie kufanya tendo ndio bluetooth inakuwa on! haiwezi kurusha file ukiwa hujitambui. Kilichotokea ulishikwashikwa ukalegea ukafurahia weeeee baadae ndo unajilaumu
 
Madam Mwajuma unatujua vizuri wanaume? Ulishawahi kujiuliza kwa nini mwanaume haitaji maandalizi kabla ya tendo la kujamiiana? Fanya hivi, muwekee dawa za usingizi mumeo akishazima chezea dushe lake uone kama halijaamka,
 
Back
Top Bottom