Nimebakwa na wanawake watatu

Nimebakwa na wanawake watatu

Mie najiuliza mashine ilikuwa inasimama wakati wewe hujitambui?Nawaza tu lakini
 
Hapa kuna maswali mengi zaidi ya maji;
1) labda wamegundua unawapiga
cha juu wameamua kukukomoa
2)ilikuwaje usiende kazin upatikane
kirahisi namna hii!!!
3)wamegundua unapenda kula hovyo!!!!
4)imekuwaje wakudharau namna hii labda umejirahisi sana
Nia marafiki wa tatu tumefahamiana toka mwaka juzi, wadada wawili wa kike mapacha na dada yao wametofautiana miaka miwili.

Tumekua tukibadilishana mawazo na kusaidiana pale msaada unapohitajika mfano kama kutafuta mafundi ujenzi, umeme nashughuli nyingine ambazo wao wanawake huwa wanamtegemea mwanaume.

Kwa nafasi niliyonayo nimekua kama msaidizi wao wa karibu sana. Siwezi kuorodhesha yote niliyowafanyia ni mengi mno ila akilini mwangu nilijua ni watu wangu tuu wa karibu hivyo maisha yamesonga hadi sasa.

Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili na mke. Leo mchana waliniita wakaniambia nikawapige tafu basi mimi nikaaga nikaenda. Kufika nikawakuta wako mezani wanakula, wakanikaribisha mimi nikaendelea kidogo kwa sababu nilikua nimetoka kula mda sio mrefu.

Nikawaambia wanipe juice niwasindikize kidogo. Basi wakafanya hivyo baada ya dk kadhaa juice ikaingia mimi nikaanza kunywa mdogo mdogo. Nakumbuka tulitumia zaidi ya nusu saa, tukipiga stori za hapa na pale.

Nikaanza kujisikia siko fresh nikawaambia ngoja nilale hapa kwenye kochi halafu nyie mkiwa sawa nishtueni twende. Huko ndo nilipotea kabisa nikaja kushtuka mida ya sa kumi na moja niko hoi.

Any way kilichonikuta leo nawahakikishia nitamwadhibu mmoja baada ya mmoja hadi nafsi yangu iridhike. Yani hawa wamenidhalilisha kiasi hiki? Hapana hii ni siri yangu na wao kama wako huku msome huu uzi lazima niwafanye mbaya tuu. Mimi sio wa kufanyiwa huo upuuzi.

Na kwanzia sasa sina mda na nyie. Nimekua nikiwasaidia kama ndugu zangu leo hii mnanivua nguo na kunifanya kama mume wenu wanawake wa tatu? Na hapo mnajua mimi ni mume wa mtu?

Hapana uchungu nilio nao lazima nitawafikisha pabaya.
 
Ndo unajifunza kudanganya!
Masikini hukufikiria kuwa fahamu zikipotea na babu pia hakohoi!
 
Mtoa uzi cna uzoefu Sana ila najua ukishazima mashine haiwez kuamka kama walikuvua wakakuchezea tu Sawa, ila pia iwe fundisho kua kila kitu tukifanye kwa mipaka kua na mazoea na jinsia tofauti namna hiyo itakuweka hatiani, wasamehe mana ukisema utawafanyia kitu mbaya utafungwa, ww umedhawaelewa wakwepe fanya mambo yako
 
Mi natamani sana nikutane na mwanamke mbakaji nione atanifanya nini

Kwamba nabakwa halafu napiga kelele hhahahahah haileti sense kabisa .
 
Back
Top Bottom