Nimebadili salamu ya HAPPY NEW Year kwa sababu ya CCM chama changu

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Happy new year ni salaamu ambayo kila mmoja ama kwa kiswahili heri ya mwaka mpya ameipata kutoka kwa rafiki zake.mimi ni mmoja wa waliotaliwa heri ya mwaka mpya 2014 lakini chama changu na serikali wamenisababisha niibadilishe kwa sababu nimegundua happy ni furaha hivyo kwa mwaka mzima wa 2014 mpaka septemba 2015 sitakuwa na furaha kabisa hivyo naomba salamu hiyo wanitakie HEAVY NEW YEAR kwa sabsbu:Umeme juu,maji juu;nauli juu,kila kitu kinachohusu maisha kimepanda bei,maisha yamekuwa magumu nitawezaje kuwa na hiyo happy new year?nitakuwa na heavy new year.
naomba happy new year kwangu ianze octoba,2015.
 
Ushaambiwa ccm ina wenyewe sasa wewe mwenzetu bado tu unangangania utakufa na kamba shingoni wewe na wenyewe kweli wapo tunawaona ndo hao toka wadogo wanachaguliwa mawaziri tuu na wengine wanateuliwa utafikiri tanzania watu waliopo ndio hao tu sisi wengine mazoba amka kaka waachie mikoba yao.
 
Pole sana njoo huku kwetu upepo unapovuma kwa watoto halisi wa wakulima sio huyo pinda wenu
 
Back
Top Bottom