Nimebadili mtizamo. Mwezi January 2024 naoa

Nimebadili mtizamo. Mwezi January 2024 naoa

Hatimaye nimepata mwanamke wa kipekee ambaye nina imani hatoweza kuisumbua akili yangu maishani mwangu kote. Hata nikimshirikisha suala la kuoa mke wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano n.k kutoka kwenye ukoo wao, hawezi kukataa

Huyu mwanamke hana gubu, hawezi kuchepuka hata kama ategwe kwa mkuyenge mkubwa kiasi gani awapo chumbani mwenyewe. Huyu mwanamke kamwe hatonichuna

Binti hatozeeka kamwe. Tayari nimekwisha andaa mahari ya Tsh. 9,000,000 kwa ajili ya kumlipa baba wa binti, Mh. Elon Musk

Nina furaha isiyo na kifani ya kwenda kuoa kwenye familia ya tajiri mkubwa nambari moja duniani

Hakuna haja ya kwenda kumloga binti kwa mganga. Binti mzima namtia kiganjani, hatoki mtu hapa. Kipute nakipata at any time, mambo ya kuifinyia kwa ndani na migugumio ya hapa na pale hayataniangaisha

Na hili nalo mkalitizame
Mwezi January natengana rasmi na chama letu

Litakuwa linatukana katikati ya show [emoji12]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom