Kweli mkuu yaani nashindwa kuelewa kwa kweli haya masuala....Tena anashukuru(alhamdurilah)kwa uvumbuzi wake huo wa wanawake wanene kiukweli wachujaji wa mada walitizame hili maana mwisho wa siku unakuta sisi wanamume tuna jikita penye mada za kuponda jinsia nyingine nao pia wanatuponda hii jamiiforums.com itasimama na kuendelea vipi?
Unaposema wenzangu....unakuwa una maana gani....??Wenzako hao mkuu.
Nilimaanisha ni wanaume wenzako..Unaposema wenzangu....unakuwa una maana gani....??
Mpwa, ile kazi yako ilizaa matunda?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unaposema wenzangu....unakuwa una maana gani....??
Hata unaposema kuwa ni wanaume wenzangu pia unanivunjia heshima....hao wanaoleta mada kama hizi hawawezi kuwa wanaume....hao ni wavulana wenye muenokano kama ya wanaume....Nilimaanisha ni wanaume wenzako..
Hahahhahaaaaaa.......mpwa.....mlinirushia ndege wangu mpwa....Mpwa, ile kazi yako ilizaa matunda?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nisamehe kwa hilo. Am sorryHata unaposema kuwa ni wanaume wenzangu pia unanivunjia heshima....hao wanaoleta mada kama hizi hawawezi kuwa wanaume....hao ni wavulana wenye muenokano kama ya wanaume....
Mwanaume hawezi akapoteza muda wake wenye thamani kwa kuandika au kujivunia jambo la kipuuzi kama hilo......
Hahaha..mpwa unanilaumu kwa kushindwa kazi...haha!! Nilidhani ushamnasa ndege tunduni.Hahahhahaaaaaa.......mpwa.....mlinirushia ndege wangu mpwa....
MMMHH NGOJA IFANYE MAGUMASHI ZANGU HUKU NIPATE MAPEESA MAANA MI SI MNENE WALA MMWEMBAMBA SIHUSIKIKweli mkuu yaani nashindwa kuelewa kwa kweli haya masuala....
Hahahahaa....mpwa....alishindikana kunasa kwa kuwa wategaji walikuwa wengi.....Hahaha..mpwa unanilaumu kwa kushindwa kazi...haha!! Nilidhani ushamnasa ndege tunduni.
Na kipindi hiki huyu mama atusaidie kurejesha uwezo wa hawa watoto kufikiri. Mama Ndalichako, tuokolee hawa watoto wa mkwere, ni zahma hiiForm 5 zinaanza lini ???? Enzi zetu form 5 ilikua march hii ya kuwapeleka watoto hadi mwezi wa 7 ni majanga huku mtaani
Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!
Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Kama mimi na wewe tusikemea upuuzi huu...unadhani ni nani wa kulaumiwa...??Mkuu hata mimi nakushangaa...siji kwanini umepoteza mda wako kucomment.
HII THREAD HAIKUHUSU ACHA KUPANIC KABLA HUJAPOST !Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!
Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???