Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Vipi kuhusu utafutaji hela kati ya wanawake wembamba na wanene?
 
Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!

Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
....na wengine wamechukua muda wao kuijadili....mkuu sijui na wewe umekosoa nini..hujui na wewe tayari umejadili..
 
Vipi kuhusu utafutaji hela kati ya wanawake wembamba na wanene?

Wanawake wanebe niwatafutaji/sio tegemezii wengi wao..Vimbaumbau nikuomba pesa kama vile wamekunywa damu ya wagogo..
 
Hii siyo sawa hata kidogo, mtoa mada murudie mwenyezi Mungu uombe toba ... Wanadamu wote tu sawa, ... ni hayo tu
 
Unamaanisha hawa?

b6efa5225cad171a92caed4b70f4142b.jpg
52ca40212aafb3e614fde98a608cfa69.jpg
9a3279452fb6424c793d2799e2f7fa24.jpg
a76d1fab6ede4a2f5a25e5653bcf71f6.jpg
f074723dba9dd25eac8b44455270bdaf.jpg
Mkuu acha kututesa wanaume wenzio na hii mizigo.
 
Umeandika ujinga ila mi mwenyewe napenda wanawake wanene,wawe magogo au mapipa.
 
Loooooooh!! Thank you my best friend! Keep smiling, keep shining
knowing you can always count on me, for sure. That's what friends are for, for good times and bad times. I'll be on your side forever and more, that's what friends are for!
Kwahiyo nyie ndio tayari ee??
Waveja.
 
Mimi Naona mtoa mada ajakosea kitu chochote. Kwa sbb ametoa mada inayozungumzia mpenzi ktk sehemu ya mpenzi na sio ktk sehemu ya kilimo na ufugaji
 
Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!

Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Ndo maana siku hizi huwa napiga tuuu bila kuchangia utumbo umekuwa mwingi
 
JF kuna majukwaa ya mbalimbali, na huku uko kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano.. unataka tuzungmzie nini? yapo hadi ya dini na mapambio. kama jukwaa halikuhusu, pita kuleeeeeeeeeeeeeeeeee...
isitoshe usione JF kama kanisa, huku kuna watu wa aina mbalimbali na wenye tabia tofauti tofauti, kwa kifupi wale wanaokuzunguka katika jamii yako wote wako huku pia.. Malaya, wachawi wastaarabu..wasomi na mazombi pia wapo. hakuna hata interview ya kujiunga humu ni kila mtu .POleee kikulachoee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom