Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Nimebadili mtazamo kuhusu wanawake wanene

Katika kundi la wanawake ninaopenda kuanzisha nao mahusiano au ninaopenda kua nao ni wenye mikia na wasio wanene, wanawake wanene niliwa exclude kwenye preference zangu na wasio na mikia.

Lakini kama mnavyojua simba akiishiwa nyama hula majani ili tu asife,nami hivi karibuni nikawa nimempata mwanamke mnene, nimeenda nae kichwani nikkwa na akili kua wanawake wote wanene ni magogo kitandani kumbe sijua sahihi.

Sio wanawake wote wanene ni magogo, kuna wengine wahanganikaji, wapiganaji kitandani hata kuliko wasio wanene, huyu mwanamke wa juzi kanithibitishia hilo, kwa kua nia yangu ilikua kupiga na kupita kuendelea kutafta wanawake ninaowapenda ila huyu mwanamke kasababisha sasa kila mara naomba nae mechi ya kirafiki, alhamdurilah mtoto sio mchoyo anatoa mechi bila hata kibali cha FiFa cha friend match.

Nimebadili mtazamo, sio wanawake wote wanene ni magogo.
naomba namba yake aisee
 
Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!

Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Mada hii haikufai na huiwezi, endelea na mada zako za kishirikina na kichawi.

Kwa akili yako fupi mada zako za kipumbavu unazojisifia hapa umeenda kwa waganga wa kienyeji unaona una akili, pumbavu kabisa.

Ushauri wa bure, tafta mada zinazoendana na wewe za wachawi na washirikina wenzako, hizi nyingine achana nazo.
 
Hata unaposema kuwa ni wanaume wenzangu pia unanivunjia heshima....hao wanaoleta mada kama hizi hawawezi kuwa wanaume....hao ni wavulana wenye muenokano kama ya wanaume....
Mwanaume hawezi akapoteza muda wake wenye thamani kwa kuandika au kujivunia jambo la kipuuzi kama hilo......
Mpe tigo ndio utajua ni mwanaume au ni mvulana.
 
Mada hii haikufai na huiwezi, endelea na mada zako za kishirikina na kichawi.

Kwa akili yako fupi mada zako za kipumbavu unazojisifia hapa umeenda kwa waganga wa kienyeji unaona una akili, pumbavu kabisa.

Ushauri wa bure, tafta mada zinazoendana na wewe za wachawi na washirikina wenzako, hizi nyingine achana nazo.
Mbona kama umepanic kijana.....take it easy....relax.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom