Nimebadili mtandao kipendwa kutoka facebook to jamii forums

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
Wana jf,nimeona bora ntumie mda wangu mzuri kwenye mtandao wetu huu kubadilishana mawazo,nimeona FB Haina jipya,hususan mi binafsi napenda kuwa enteprenuer,2shrikiane kujenga Taifa letu Wakuu
 
Entrepreneur gani hata hujui spelling za neno lenyewe. Wewe ni kilaza tu uliyesahau password yako ya Facebook kwahiyo ukaona ukimbilie huku
 
acha hzo,we ndo kilaza hujaelewa hata hii thread inazungumzia nin,nyie ndio hamfai humu ndan ya jukwaa
 
Entrepreneur gani hata hujui spelling za neno lenyewe. Wewe ni kilaza tu uliyesahau password yako ya Facebook kwahiyo ukaona ukimbilie huku

Huyu bila shaka ni Mwita25 maana vitabia vyako ni vilevile vya kwenye ID ulokula ban,huyu mgeni humu kwa hyo mkaribishe then muelekeze kama ameenda wrong lakn sio kutumia lugha kali mkuu.
 
Kweli hujafundwa wewe ..kujua spelling sio kujua/kutokua shughuli na misingi kwa vitendo ya kile unachoenda kukifanya ...mkaribishe ili aweze amini kama alivyokuwa anaambiwa huku ni nyumbani kwa Great thinkers .
Entrepreneur gani hata hujui spelling za neno lenyewe. Wewe ni kilaza tu uliyesahau password yako ya Facebook kwahiyo ukaona ukimbilie huku
 
Karibu sana utapata mengi huku ambayo ulikuwa unayakosa kwenye mitandao mingine ya kijamii.Ila usikimbie moja kwa moja ulipokuwa mwanzo kwani unaweza ukapata mengine huko na ukayaleta huku tukaendeleza gurudumu.
 
Back
Top Bottom