Nimeathirika

Afadhali ya wewe umeambukiza wawili, Miye nimeambukiza ofisi nzima , mpaka za Jirani, nimesambaza mpaka ofisi za mbali. Sasa ni saa nne kasoro nimefika ofisini saa 2 kamili bado niko JF tu.

hahaa mimi walinidisconect siku kadhaa kwa madai eti ya kuninusuru nikahamia internet....boss alichoka aksema sasa nakupoteza kabisa!!!!! hakuwa na choice bt to reconect me!!!!
 
hahaaa hilooo!!! hata baa we si unasahau serengati unanogewa na masredi....mara kibao tu usitake nimwage siri hapa!!!!! mule mule tu

kama unafikia kukaacha kale kakitu ketu na upweke kakiwa baridi,
Huo ugonjwa usije ukaathiri udumishaji wa MILA....
 
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
Anything in excess is harmful. Unahitaji kupimwa kama wanavyopimwa wengine cd4 zao wapate tiba. Maana usipofanya kazi na kuathirika na hilo tu watoto watalala njaa.

Leka
 
sasa Tiba ya huu UGONJWa ninini jamani, ama CHILIGATI , Maana huyu ni muuguzi maarufu wakunyonga wagonjwa wenye magonjwa yasio Tiba kama Jamiiforums
 
Niliposoma heading ya thread sikuelewa nikaona nifungue nisome yaliyoko kwenye thread,ndo nikaelewa,ni kweli waathirika tuko wengi,jamani tutatute tiba maana naona haka kaugonjwa kameshaingia kwenye damu sasa sijui tutakatibu kwa dawa gani.
 
Niliposoma heading ya thread sikuelewa nikaona nifungue nisome yaliyoko kwenye thread,ndo nikaelewa,ni kweli waathirika tuko wengi,jamani tutatute tiba maana naona haka kaugonjwa kameshaingia kwenye damu sasa sijui tutakatibu kwa dawa gani.

Ongea na invizibo akupige pamanent ban!
 
Sio peke yako mkuu, hata mie hivyo hiyo, nikiwa JOB, Home, nikienda sehemu kama kuna foleni ya kusubiria kitu basi ntaingia kwenye simu yangu kama kawaida na surf, hili jamvi si la kitoto mkuu.
 
Inaonekana wewe ni kula kulala eeeee,wewe kama hula shughuli unazani hutakodoa macho kwenye hata kamtandao, ndio sbb safisha hata busani za home kijana
 
Back
Top Bottom