The Orginals
Member
- May 4, 2015
- 88
- 21
ganja haifai jichunguze mara mbili lazima utagundua kuna vitu una act like mwehu mwehu always wavuta bangi hawako normal yaan fanya reseach!!!
Tatizo ndilo hilo.. Mnakimbilia kujaribu ku-justify uvutaji wa bangi na ulevi wa pombe..
Ni hivii.. Mie ninawafahamu wahanga wengi wa ulevi huu wa bangi.. Na wengine ni ndugu na jamaa kabisa wa karibu.. Wamelipuka na kuwa machizi kabisa.. So if u ask me nitakuambia kwa ushahidi kabisa niliouona kwamba bangi itakuwehusha tu.. Sio lazima ndani ya muda fulani.. Inaweza kupita hata miaka 10.. Lakini lazima itakuweuha tu..
Wewe endelea kuvuta.. Its ur choice..
Ganja siyo nzuri, mara nyingi wavutaji huwa hawana maendeleo mazuri. Nashukuru Mungu wafanya maamuzi wetu hawatumii hii kitu.
One perfect love!:msela:
Bangi inaua cell moja moja ya ubongo hivyo ni suala la muda tu kama mkuu ulivyosema mtu kuehuka.Wehu uko pale pale it just a matter of time
Ganja siyo nzuri, mara nyingi wavutaji huwa hawana maendeleo mazuri. Nashukuru Mungu wafanya maamuzi wetu hawatumii hii kitu.
Wafanya maamuzi wetu wangekuwa wanavuta bangi tungekuwa mbali sana kimaendeleo, badala yake ni walevi na wazinzi ndio maana leo mko hapa.
Bangi hukufanya ufikiri, hukufanya uhoji vipengele vya maisha kwa mtazamo tofauti na zaidi bangi hukurejesha nyumbani, na mawazo ya ukombozi.
Wapigania uhuru karibu wote unaowajua walikuwa wanajiuguza, ila watawala wenu wamekalia zinaa na pombe. Unaona tofauti?
Kwa raha zako.
Mkuu, pole. Hilo tu linakufaa.
hongera mkuuu
lipuka mkuu, lipukaaaa....!:majani7::majani7::majani7:
Sikweli ndugu
Naam siku kama ya leo tulipoteza mjumbe muhimu toka kwa Mungu.
Alijitahidi kuhubiri kupitia muziki wa reggae kadiri Roho wa
Mungu alivyomuongoza.
Roho huyo yuko ndani ya Bangi.