yeah man
amani kwako.
Kila kitu kina taratibu zakeTatizo ndilo hilo.. Mnakimbilia kujaribu ku-justify uvutaji wa bangi na ulevi wa pombe..
Ni hivii.. Mie ninawafahamu wahanga wengi wa ulevi huu wa bangi.. Na wengine ni ndugu na jamaa kabisa wa karibu.. Wamelipuka na kuwa machizi kabisa.. So if u ask me nitakuambia kwa ushahidi kabisa niliouona kwamba bangi itakuwehusha tu.. Sio lazima ndani ya muda fulani.. Inaweza kupita hata miaka 10.. Lakini lazima itakuweuha tu..
Wewe endelea kuvuta.. Its ur choice..
Na wewe unayetaka ku reason na mvuta bangi tukuiteje?
hongera mkuuu