miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
huruma ya kiasUwe na huruma angalau kidogo; once a week in a blue Monday kwa kuanzia sio mbaya!
huruma ya kiasUwe na huruma angalau kidogo; once a week in a blue Monday kwa kuanzia sio mbaya!
Naam siku kama ya leo tulipoteza mjumbe muhimu toka kwa Mungu.Hahaha naona anawakilisha skukuu ya kiongoz wa wavuga bangs Bob Marley
si kwa wote mkuuone love man, kaya man, jah people. Hizo bange zinawafanya mjione mko ulaya kumbe hata nauli ya daladala hakuna mfukoni.
huruma ya kias
bangi inasingiziwa ubayani vizuri umeamua kuweka wazi ili utakapowehuka ndugu zako wasipate tabu ya kwenda kwa mganga kupiga ramli ya nani aliekuloga ukawehuka..
si kwa wote mkuu
inategemea unaimbilizia nini.
Mie babu yangu mpaka leo anavuta
na anapiga jembe balaa
umri wake miaka 98.
Lakini mnywa bia,hawezi kufanya hayo.
bangi inasingiziwa ubaya
je? Ni WALEVI wangapi husababisha vifo?
na breweries hakuna anaeipiga madongo?
you are the one who need to be delivered.not u who's speaking, but "it's lucifer" inside you and all who comment positively are poor brain so u need deliverance from god.