sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Kila kitu kina taratibu zake
mfano.
Pombe kali ukinywa bila kula utakufa
na Bange
ina taratibu zake
1.kuamka alfajiri na kusali kabla ya watu wengine wa eneo lako kuamka.
2.mazoezi
3.kula mboga za majani kwa wingi
4.matunda
5.kunywa maji mengi sana
6.kutuliza akili na kusoma sana hasa maandiko ya amani.
(muelekeze nduguyo atapona)
Utawehuka tuu.. Na utakuja ipa shida familia yako kwa tatizo ulilolitengeneza wewe mwenyewe..