Nimeanza kunywa soda bariidi baada ya kusoma POOR DAD

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,616
1,763
Wakuu Sina mengi ya kuwachosha nipende kuchukua fursa hii kuwapa Hamasa ndugu zangu; kaka zangu, Dada zangu, mama zangu, Baba zangu nk.

Kama Kuna mtu Ana softcopy ya kitabu cha poor dad rich dad akitupie hapa kwa faida ya wengine..

Nimejifunza kitabu hiki nikiwa chuo mwaka wa Tatu nawaambia ukweli saiv nipo kwenye biashara yangu na kunywa soda.. Huu mwezi wa 4 Toka nianze harakati lakini kwa Sasa walau bado naendelea kufanyia kazi kile kitabu.

Karibuni soda wakuu nipo kusini mwa Tanzania.

Jamani mambo yanawezekana ukiamua hapa saiv nimelima shamba heka 1 ya karanga sio mda nitaanza vuna nianze kuongeza kipato..

Asanteni yooote haya ni matokeo ya kitabu cha poor dad rich dad. Mwenye sofy kopy akiweke hapa na watu mkitendee kazi..

Kuna usemi nakumbuka kwenye kitabu "THERE IS GOLD EVERYWHERE IN THE WORLD, BUT MANY PEOPLE DID NOT LEARN HOW TO EXTRACT IT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndo page nzima ujaze thread zako tu? unatusumbua..
Screenshot_20190105-182523.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom