Nimeanza kujifunza uchawi!!!

We jifarague tukutupie jini Kisirani... Kulikuwa hakuna haja ya kujifunza shirk ungetafta mtu akusomee upate Maruhani! Yatakusaidia

Am feared by people and spirits!!!, so that jini taka taka, cant do nothing to a person of my calibre! I am a higher level of manifestation!
 

1. Nataka PHD ila nataka ni specialize kwenye necromancy!

2. Just kuwa willing

3. Hakuna kozi fupi fupi!
4. Kuhusu malipo inategemeana unataka kujifunza uchawi wa aina ipi coz unajua kuna uchawi wa aina tofauti tofauti, kati yazo aina kuu zipo mbili Black Magick and White Magick. Kama unataka kujifunza black magic hapo the demons must be involved and u know the demons are not paid in terms of silver and gold, they are paid in terms of blood! So its up to you!
 
We jifarague tukutupie jini Kisirani... Kulikuwa hakuna haja ya kujifunza shirk ungetafta mtu akusomee upate Maruhani! Yatakusaidia

I bet we utakuwa umetoka jela hivi karibuni na utakuwa ulifungwa kati ya mwaka 1993 hadi 1996, kipindi hicho ndo hilo neno lilikuwa linatumika, siku hizi watz hawatumii hilo neno
 
masomo mema jifunze uloge in positive way and not destroy. so funy
 
Nimetafakari sana lakini naona wazi Mkuu
utakwenda kuungana na wale jamaa wa ITIKAFU.
 
iyo kozi unayochukua ina kipengere cha SPOTI?,kuna watu wanatusumbua huku mkuu,msaada wako tutauhitaji kama utafanya kazi kwenye spoti
 
YESU KRISTO pekee atosha kujilinda na kulinda wenzako; achana na uchawi
 






 
Last edited by a moderator:
Pole umepotea.
Huyo mchawi wako ni sisimizi.
Mm nipo na master of creation aliyeumba hao wachawi na kuwapa pumzi. Nakushauri njoo huku kwa muumba wa Mbingu na nchi,achana na huyo aliyeumbwa tu kama wewe.
 

6.barua ya maombi nitumie anuani gani!
7.unaambatanisha na nini au cheti cha kifo...USINILOGE MKUU
 
Huwezi kusaidia mtu kwa mbinu yako hii. Hapa inaonekana wewe ndio unahitaji msaada!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…