Nimeangalia FUTUHI mwanzo mwisho sijacheka!!

Stress ya maandamano mnazihamishia kwa FUTUHI. Binadamu ni zaidi ya wanyama pori!
 
Karibu huku
images-3.jpg
 
Wale wa katuni , RICKY AND MORTY... Best season utacheka mpk basi

Maana mi nimecheka kusoma title ya post...eti hujacheka daaah
 
Kawaida wabongo kuchukia vya kwao.....wengine tumecheka na tukiangalia hizo zinazokuchekesha ww hatucheki....Labda kama unachuki binafsi tu

Sio kila cha nyumbani ni bora acha kasumba mbaya jamaa sio creative kbs dunia ya sasa huwezi kutengeneza comedy kwa kuvaa manguo mabovu na matai marefu na kukimbizana na kucheka cheka hovyo eti unaita comedy!!! Utaishia tu huko huko simiyu wakati wenzetu wa south na wa west africa wanaenda next level kwa ubunifu na sasa wanatamba kwa comedy mpaka ulaya na marekani .. sisi tumebaki na comedy za kibwege tu za kuvaa matambara! Ujjinga mtupu
 
Naona wanacheka wenyewe na kupigana tu na hili li jamaa llinene linavaa minguo michafu iliyochanika dah!!.. bongo bado sana!
Futuhi: Lafudhi ya makabila fulanifulani.
Ujumbe mahsusi wa watu wa tabaka fulani la elimu.

Hapo Ni Lazima, usicheke tu.
 
Back
Top Bottom