Nimeamua sasa......

Nimeamua sasa......

kwanza itabidi wajitaje live,maana hao mapedeshe huwa wapo busy kama manesi ili kutuharibia
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::faint2::faint2::faint2::faint2:
 
Kudadadeki mapedeshee wa humu mnatuonea sana sisi wanyonge, kila vimwana wazuri mnao ninyi tu kisa mnamwaga pesa na kuhonga vitz na rava four,,,,,,,,,sasa kabla sijaibuka na kimwana matata humu chit chat nimeamua..............
View attachment 119221

C.C: Baba V toa taarifa kabisa kwa mapedeshee wote wa humu hasahasa Bishanga, Mwita Maranya (Nammaindi vibaya mno kwa kuniharibia kwa Mamndenyi) tusijekulaumiana baadae............ Erickb52, Arushaone, kiwatengu, Asprin (Babu mpenda totoz) nielekezeni vya moto vinakopatikana.

Sasa hii ndio Coup d' etat sasa Katavi, kinukishe!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we si umenitupa bana kuanzia kule madongo kuinama mpaka huku ila umekuwa bidhaa adimu mbaya mkuu Excellent nitupia contact zako Pale Mwembeni
nitakutumia mkuu,ila now nipo kule kule machimboni na hata nikikupa baada ya wiki nitabadili maana ndo narudi maeneo ya home,heri nikifika home nikutumie nayoitumie
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
usirudi mjini, kaa huko huko pori. huku tumejaa jamani.
leo furahi dei nakula maisha na paw wangu. Da Sophy sijui ana hali gani maskini.

hivi lakini lazima umtaje Paw?
aaah nimeshapoteza hata appetite ya kula msosi
 
Last edited by a moderator:
nitakutumia mkuu,ila now nipo kule kule machimboni na hata nikikupa baada ya wiki nitabadili maana ndo narudi maeneo ya home,heri nikifika home nikutumie nayoitumie

hahahaha haya mkuu ila niambie may be nikutumie ya kwangu Pale Mwembeni Excellent
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom