Nimeamua sasa......

Nimeamua sasa......

Last edited by a moderator:
kitavi nakushauri ununue "binduki", achana na hizo "bunduki"!
 
Last edited by a moderator:

heheheeee!!kakuambia nani wanalindwa
na SMG?maneno na matendo yako ni silaha tosha
habari za silaha za moto tutashindwa kuja kumsalim wifi ujue!!
 
Last edited by a moderator:
Katavi yaani mbinu zoote umeshindwa mpaka unaenda kushika cha moto

Unanikumbusha jamaa mmoja alikuwa anauza duka la home. Alikuwa anatembea na w'ke wabovu vby sana kisa anaogopa gharama. Akiona mw'ke kapendeza basi anajua gharama yake ni kubwa sana, so anamgwaya!

Lkn maishani mwake ana nia ya kumiliki vitu viwili tu; gari na 'chamoto', 1st anampa lift, 2nd mdada akiwa ndani ya gari anamteka kwa kutumia chamoto, Kali kwelikweli!

Binafsi ye ndo anaamini ni njia yake pekee ya kuwapata mabinti wazuri au tuwaite warembo.
 
Last edited by a moderator:
hata kama hawataki, lazima nimiliki tu silaha. Wewe nielekeze tu zinakouzwa.

njoo kwangu mie naimpoti!!! ila lazima test ifanyike....mfanya test ni mimi nakufanyia wewe!
 
hv binamu wewe una hata
panga kweli kwa ajili ya kumlinda
Dena Amsi wako?unatumia maujuzi gani?

Shughuli yangu kwake ni silaha tosha sina haja ya panga au bunduki maana akitoka kwangu amesharidhika na kila kitu na namtimizia kila hitaji lake na shughuli yangu inamtosheleza kila angle
Kama Ruttashobolwa hafikii kiwango mwambie wazi anunue bunduki maana hatachelewa kukupoteza mrembo kama wewe Passion Lady
 
yani kwa jinsi navyomuaminia
loya wala hana haja ya kumiliki
hata kisu cha kukunja!!afu unamuonea
shemejio wewe khaaaa!!
 
Back
Top Bottom