Nimeamua sasa......

Nimeamua sasa......

Habari kaka binamu Mr Rocky..mwenzio Katavi amekosa mrembo ndo mana anataka kumiliki kitu cha moto? Nimekumis lakin.

Huyo domo lake zege anashindwa kusema ndo maana anaenda klutafuta kitu kama hicho
Nimekumiss binamu Chocs aise mpaka naona :A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Mweeee! Utaua wangapi?

Suluhisho nawe uwe pedeshee tu, watakufuata wenyewe km nzige
 
Huyo domo lake zege anashindwa kusema ndo maana anaenda klutafuta kitu kama hicho
Nimekumiss binamu Chocs aise mpaka naona :A S-confused1:
Nani domo zege wewe, ngoja nimchukue demu wako ndio utajua udomo zege wangu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom