Kaka zile ishu zimegonga mwamba aisee, ni silaha tu.
hebu ngoja niwaite mabinamu zangu na dada zangu walizungumzie jambo hili kw akina eti Passion Lady na Paloma na snowhite na gfsonwin na Preta na KOKUTONA na sweet lady na ladyfurahia na Zion Daughter na Madame B na Zinduna na Chocs na Lady doctor na Mamndenyi na Arabela na farkhina wote kweli mnakubaliana na Katavi kumiliki silaha aise
hata kama hawataki, lazima nimiliki tu silaha. Wewe nielekeze tu zinakouzwa.
Ha ha ha haaah!! Hiyo ishu ya kujikatavi haiwezekani kaka.