Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri

Ni paka mpenda bata au starehe

View attachment 972114

View attachment 972115

[emoji116] Pia anapenda kuangalia sana tv hasa vipindi vya wanyama na katuni

View attachment 972116

[emoji116] Akiwa na njaa au ukimuudhi huwa hacheki na mtu
View attachment 972122

Ni dume lakini yupo single maana sijawahi kumuona na totoz

Bei ni PM

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alikua anampigia puli......af paka anamwona boya like mbona mi nadinya madem wakali
Picha ya mwisho ana kujaji/judge yaani anapima uelewa wako ktk jambo ulilokuwa unafanya hapo ktk kochi...halafu akakudharau. Ilikuwa unafanya nini mbali na kumpiga hiyo picha
 
Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri

Ni paka mpenda bata au starehe

View attachment 972114

View attachment 972115

[emoji116] Pia anapenda kuangalia sana tv hasa vipindi vya wanyama na katuni

View attachment 972116

[emoji116] Akiwa na njaa au ukimuudhi huwa hacheki na mtu
View attachment 972122

Ni dume lakini yupo single maana sijawahi kumuona na totoz

Bei ni PM

Mkuu umefulia nini! Bei gani?
 
gheto lako mbona liko rough ivyo.. umejaza vitu vya kichina kibao. ukutani ungeweka ata Wallpaper kungependeza kidogo mkuu
 
Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri

Ni paka mpenda bata au starehe

View attachment 972114

View attachment 972115

[emoji116] Pia anapenda kuangalia sana tv hasa vipindi vya wanyama na katuni

View attachment 972116

[emoji116] Akiwa na njaa au ukimuudhi huwa hacheki na mtu
View attachment 972122

Ni dume lakini yupo single maana sijawahi kumuona na totoz

Bei ni PM
[emoji38][emoji38]
 
Mnh! Huyu paka sipati picha siku kifurushi cha DSTv kimekata halafu mfuko upo mbaya!!! Atakufuata kila unapoenda "nyau! nyau!nyau!" Raia wanadhani paka anadai msosi kumbe anakutaka ukanunue kifurushi cha DSTv aangalie Tom & Jerry!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom