[emoji23][emoji23]Paka wana nyodo sana.....me siwawezi....wanatabia za kislayqueen.....
Me nilikuwa na paka tulikuwa tunagombana sana juu ya dharau zake, na nimeshamwambia mara kadhaa kuwa ananiboa ila huwa haelewi......ana ahidi kujirekebisha ila hafanyii kazi.
Kuna siku alinikera sana , nimetoa hela yangu nikamnunulia cream ya maziwa nimemuwekea kwenye kisosi, ameinusa tu hakulamba hata kidogo....akaendelea kulala aliniboa sana...
Na hata wageni wakija hawasalimii......alinikera sana......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnh! Huyu paka sipati picha siku kifurushi cha DSTv kimekata halafu mfuko upo mbaya!!! Atakufuata kila unapoenda "nyau! nyau!nyau!" Raia wanadhani paka anadai msosi kumbe anakutaka ukanunue kifurushi cha DSTv aangalie Tom & Jerry!
Unakaribishwa tufanye biasharaGhetto lina rangi ya pink!
Furesh!
Paka wa kwanza kuishi geto kwa mselaYupo vizuri mkuu sema ndio hivyo hajazoea shida
😂😂😂😂😂😂 paka anamaindi sana katuniMnh! Huyu paka sipati picha siku kifurushi cha DSTv kimekata halafu mfuko upo mbaya!!! Atakufuata kila unapoenda "nyau! nyau!nyau!" Raia wanadhani paka anadai msosi kumbe anakutaka ukanunue kifurushi cha DSTv aangalie Tom & Jerry!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paka anamaindi sana katuni
Paka ana tabia za kujifanya kibosile mjengoni. Kama vile anajua bei ya matofali, bati na kochi alilolalia. Ndio maana wanawake wengi hawampendi 😂😂😂 unaweza ukaonesha care ukampa maziwa akanusa tu af akapita zake hivi!!!Hahahaha mi sijawahi hata kufuga hao wanyama hii sio fani yangu kabisaa,,,
halafu huyu mbona ana nyodo sana, akiwepo na maza house basi jamaa ajiandae kuhudumia maza mbili
Basi ndo maana km kanapenda kuabudiwa namna hiyo ndo maana nakachukiaPaka ana tabia za kujifanya kibosile mjengoni. Kama vile anajua bei ya matofali, bati na kochi alilolalia. Ndio maana wanawake wengi hawampendi [emoji23][emoji23][emoji23] unaweza ukaonesha care ukampa maziwa akanusa tu af akapita zake hivi!!!
Hahah wote tabia mnaendanaBasi ndo maana km kanapenda kuabudiwa namna hiyo ndo maana nakachukia
Hahah wote tabia mnaendana
HhhhhhhhhUmeniweza!!!!!