LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,717
- 13,439
Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri
Ni paka mpenda bata au starehe
[emoji116] Pia anapenda kuangalia sana tv hasa vipindi vya wanyama na katuni
[emoji116] Akiwa na njaa au ukimuudhi huwa hacheki na mtu
Ni dume lakini yupo single maana sijawahi kumuona na totoz
Bei ni PM