Nimeamua kuwa Atheist

mi navyoona ni kama mambo yako hayaendi ulivyokuwa unataka sasa unamwekea Mungu shonde,
Kuwepo kwa chaos haimanishi hakuna mungu hiyo ni balance ya nature lazima kuwe na chaos na order ili dunia ifanye kazi
 
Mwenzako Elon musk kaachana u-atheist,anaamini Mungu yupo baada ya kui-study universe
 
Mbona mnaenda mbinguni , huku mkihuzunika na kulia lia kuna watu hawataki kwenda ? Nenda mbinguni tu salama🖐
Lazima mkubali kuongozwa na mamlaka kubwa kuliko zote! mmeukuta ulimwengu mtauacha na hamjui mnamuachia nani! Mambo yote yalishapangwa, mtake msitake! Na nyinyi kwanini mnawafatilia wanaoenda mbinguni?
Hata kama naenda motoni ila ukweli naujua!
 
Kobazi tumeshinda yeeeeeee

Kujadili hoja kisheria siyo namna na njia pekee ya kuthibitisha jambo
Kama kuna jua na kuna photosynthesis inatakiwa wanaodai hakuna msanifu wa hilo watatakiwa kuthibitisha kwa kueleza namna gani hayo mambo yametokea
 
Lazima mkubali kuongozwa na mamlaka kubwa kuliko zote! mmeukuta ulimwengu mtauacha na hamjui mnamuachia nani! Mambo yote yalishapangwa, mtake msitake! Na nyinyi kwanini mnawafatilia wanaoenda mbinguni?
Hata kama naenda motoni ila ukweli naujua!
Waafrika wakikutana na mtu ha hana imani na mambo ya Mungu, ukichaa wenu unaanza kupanda tofauti kabisa na hata mataifa mengine sijui kwanini🤔
 
Kujadili hoja kisheria siyo namna na njia pekee ya kuthibitisha jambo
Kama kuna jua na kuna photosynthesis inatakiwa wanaodai hakuna msanifu wa hilo watatakiwa kuthibitisha kwa kueleza namna gani hayo mambo yametokea
Ivi umesoma ukaelewa kweli iyo point??
Au umeshtuka kutoka usingizini??
 
Oxygen ipo? Kama ipo thibitisha au ije yenyewe hapa ijitetee🫴🏾
 
Oxygen ipo? Kama ipo thibitisha au ije yenyewe hapa ijitetee🫴🏾
Swali lako katika muktadha huu ni la kijinga. Halina maana.

Kwa sababu, kama oxygen ipo, na inaweza kuthibitishwa kuwa ipo.

Au kama oxygen haipo, na jaiwezi kuthibitishwa kwamba ipo.

Yote hayo hayathibitishi Mungu yupo.

Jibu lolote kuhusu oxygen halina maana katika mazungumzo haya.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…