Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,552
- 31,586
Habari za mahakama na Mungu hazina uhusiano.Ndio maana nimesema kwa uelewa wako wewe huo ina maana hata mie nikiuwa mtu halafu mahakamani ukakosekana uthibitisho wa kunitia hatiani kwa hiyo kesi ya mauwaji maana yake kwako wewe ni kwamba sijauwa kwa kuwa hakuna uthibitisho badala ya kuwa umekosekana tu uthibitisho wa kunitia hatiani.
Ni sawa maana ni uhuru wakoNimefanya tafiti yakinifu nimekuja kugundua Mungu hayupo. Ni story tu za kutupa matumaini hewa.
Nimeamua kuwa Atheist. Nitaupa muda nao ukizingua namrudia Yesu.
Dhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Ni maamuz yangu binafsi.
Athibitishe ili iweje?Wewe guluguja usiye ubongo wala uti wa mgongo hujui hata herufi za Kiswahili huna cha kuniambia nitumie logic wapi na wapi nisitumie.
Huyo Mungu wako wa hadithi huwezi kuthibitisha yupo, ndiyo maana unakuja na mazingaombwe ya "tumia logic kwenye vitu vingine na si kwenye masuala ya Mungu".
Unajua mtu akitumia logic kwenye masuala ya Mungu, atagundua huyo Mungu hayupo.
Ndiyo maana unabwabwaja hapa lakini huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Upumbavu wako ni uthibitisho tosha wa uwepo wa Mungu.Wewe guluguja usiye ubongo wala uti wa mgongo hujui hata herufi za Kiswahili huna cha kuniambia nitumie logic wapi na wapi nisitumie.
Huyo Mungu wako wa hadithi huwezi kuthibitisha yupo, ndiyo maana unakuja na mazingaombwe ya "tumia logic kwenye vitu vingine na si kwenye masuala ya Mungu".
Unajua mtu akitumia logic kwenye masuala ya Mungu, atagundua huyo Mungu hayupo.
Ndiyo maana unabwabwaja hapa lakini huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Unajua ukiwa unajadiliana kistaarabu inapendeza zaidi kuliko kuleteana maneno ya kipumbavu.Mbona kama umetupa taulo mkuu 😁
Uchomozaji wa jua upo kwenye autopilot 😀Ulimuona wapi huyo Mungu akichomoza jua?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwapo, na angekuwa kaumba ulimwengu huu, upumbavu usingeweza kuwapo, popote, kwa yeyote, muda wowote.Upumbavu wako ni uthibitisho tosha wa uwepo wa Mungu.
Nyinyi ndiyo mliyotajwa makafiri, kama msingekuwepo tungeitilia shaka maneno ya Mungu, lakini nyinyi mnadhihirisha ukafiri wenu na kufanya maneno ya Mungu kuwa kweli.
Na hiyo misemo yako ni kama mtu aliye-left group.
Kuamini unaweza kuamini unachotaka, hata uongo.Athibitishe ili iweje?
Sisi tunaamini Mungu yupo, wewe unaumia nini kwa sisi kuamini hivi?
Kama wewe huamini basi Ishi maisha yako, sisi tayari tumemuona Mungu kwenye maisha yetu siyo lazima na wewe umuone au utake kila muda tukuthibitishie ili iweje? Kama wewe umeshindwa kumthibitisha basi endelea na maisha yako.
Ni ngumu kubadili kitu kinachoaminiwa na kukubaliwa na zaidi ya watu asilimia 98 duniani.
Waache watu waendelee na imani zao na wewe endelea na imani yako.
Kila mtu atazikwa kivyake hivyo amini unachoamini bila kusumbua wengine
Hivi Google ile AI yake ameipa jina gani vile?Kuamini unaweza kuamini unachotaka, hata uongo.
Kwako nyumbani, msikitini, kanisani, kwenye faragha yako kiimani.
Ila, ukija hapa public square imani yako ni yako, hapa tunadai risiti, tunataka facts, tunataka uthibitisho.
Mimi nimewaacha watu waendelee na imani zao, hata hapa sikutaka kuchangia.
Ila, nimeitwa hapa. Watu wametaka kujua mawazo yangu kuhusu hii mada.
Na mimi imani yangu ni kuhoji imani kujua kama ni za msingi wa kweli ama la.
Sasa na wewe ukiniingilia katika kuhoji kwangu huoni unaniingilia katika imani yangu?
Huelewi wapi?
Hiyo Google unajua kuitumia?Hivi Google ile AI yake ameipa jina gani vile?
Ndiyo najua ila nimependa kupata jibu toka kwako siyo GoogleHiyo Google unajua kuitumia?
Kwa nini?Ndiyo najua ila nimependa kupata jibu toka kwako siyo Google
Je wewe Kiranga unaweza kukaa wiki 2 bila kutumia mawasiliano (simu, computer, etc) na ukajisikia vizuri kabisa?Kwa nini?
Swali hili linatokea wapi?Je wewe Kiranga unaweza kukaa wiki 2 bila kutumia mawasiliano (simu, computer, etc) na ukajisikia vizuri kabisa?
Basi mkuu yameishaSwali hili linatokea wapi?
Lina uhusiano gani na mada iliyopo hapa?
Lina umuhimu gani?
Mbona kama linatoka kwenye mada na kumfanya Kiranga kuwa mada?
Hayajaisha mpaka ujibu maswali.Basi mkuu yameisha
Mimi Naamini Mungu yupo na silazimiki kukuthibitishia chochote wewe
Kama wewe huwezi kumuamini mpaka upate uthibitisho ni maamuzi yako binafsi tusisumbuwane
Wala mimi sikushawishi au kukulazimisha kumuamini Mungu, Ishi maisha yako kama ulivyoamua
Have a great day.
Jinsi ulivyo hukujipangia, hukuanza tu kuwa mpenda sayansi na mawasilianoHayajaisha mpaka ujibu maswali.
Swali hili linatokea wapi?
Lina uhusiano gani na mada iliyopo hapa?
Lina umuhimu gani?
Mbona kama linatoka kwenye mada na kumfanya Kiranga kuwa mada?
Nini umeelewa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwapo, na angekuwa kaumba ulimwengu huu, upumbavu usingeweza kuwapo, popote, kwa yeyote, muda wowote.
Uwepo wa upumbavu, wowote, popote, kwa yeyote, ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.
Ila, wewe huwezi kujua hilo.
Kwa sababu unakataa kutumia logic.
Bado narudia kusema kwamba hatutoweza kuelewana ikiwa bado una mtazamo usio sahihi kuhusu uthibitisho.Habari za mahakama na Mungu hazina uhusiano.
Wewe unakataa kwamba Mungu hayupo, halafu kuthibitisha Mungu yupo huwezi.
Sasa unataka nini?
Una simama wapi?