Nimeamua kuvunja ukimya

Nimeamua kuvunja ukimya

Hili ni kweli ndugu yangu na ndio maana leo hii tunasikia habari nyingi mbaya juu ya hao waliookoka, lakini hupaswi kumuhukumu mtu kwa kugeneralize, ukimshuhudia mseme, ila kama hujamshuhudia tulia tu mwache aendelee na wokovu au imani yake, hii ndio busara kuu. Maana kuna watu waliwakejeli watumishi wa Mungu badae wairudi kupiga magoti wenyewe, cha msingi ni kuzidi kuombeana tu, sisi tunawaombea vijana wote Tz.
Sijaongelea kuhusu wokovu bali ile hali ya mtu kutoka mbele ya hadhira na kujitapa/ kujisifia juu ya ukamilifu. Hili sio jambo jema kwani watu wa aina hiyo hutumia njia hiyo kuficha uovu. Kumbuka Petro alimwambia Yesu, "Bwana mimi nipo tayari kwenda na wewe gerezani , hata kufa." Lakini ni yeye ndie aliyemkana. Historia ni mwalimu mzuri kwa kila mmoja wetu. Ndio maana Mungu kupitia maandiko yake anatuasa kadri anavyotuinua tunapaswa kuzidi kuwa wanyenyekevu.( Yoshua bin Sira 3:17-18).
 
Nimepata Girlfriend mpya juzi hapa, sina hata miezi mitatu naye, kuna mtu mmoja aliniacha njia panda mwaka jana mwanzoni so huyu nisingependa anipite tena, kwa hiyo basi pamoja na mambo mengine ukisali nikumbuke katika yafuatayo....

Mwambie Mungu kupitia Mwanae Yesu Kristo kuwa Horseshoe Arch amehangaika sana kumpata mwenza wa maisha na Tazama baba kampata Makei wake,Mwambie baba tafadhali usimwambie Horseshoe Arch kwamba chaguo lake si sahihi na badala yake washape kwa pamoja ili waweze kuendana,hili likikamilika hakika utukufu wa Bwana utaonekana na Tazama kwa paomoja tutakuwa mstari wa mbele kumtukuza!

Ila tukiacha utani na mizaha. If you really want a bright Christian future with your girlfriend basi itabidi muishi mahusiano yenu kikristu, mvunje (kwa maombi) vifungo vyenu vya nafsi mlivyojifunga kwenye mahusiano yaliyoyapita, ambayo ni pamoja na kudenounce maneno na ahadi mlizokuwa mnafanya katikati ya mahaba words like "...mimi na wewe kitakachotutenganisha ni kifo tu..." na vitu kama hivyo.
Maana (in Pinda's voice) hakuna namna nyingine.
Mahusiano mkiwa na Yesu ni matamu kuliko chochote. I have been in both ways so I can compare
 
Yaani bila ya neema ya msaada kumshinda shetani ni next to impossible. Halafu anatumia logic na anashawishi kweli kweli, but we shouldn't give up the fight.
Na talking of the fight we need to know who is our real enemy ili tuwe na silaha sahihi.
Paulo alifafanua vizuri alipowaandikia waefeso. Efeso sura ya 6

Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule Mwovu 1Yohana 5:19
Pia - ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo 2Wakorintho 2:11

Sijui kwanini haka kajamaa kana kashfa nyingi hivi na bado wanadamu katuteka akili zetu

IIWakoritho 11:3 Anaitwa Nyoka Lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya Hawa, fikira za watu humu zaweza kupotoshwa, mkauacha uaminifu wenu wa kweli kwa Kristo!

Katika kashfa ya pili Shetani anaitwa Abaddon (Kiebrania) Apollyon (Kigiriki) ikimaanisha mharibifu ufunuo 9:11

Aidha pia anaitwa Mshitaki wa ndugu zetu (Accuser of the brethren), Ufunuo 12:10.

Anaitwa Malaika wa kuzimu, (Angel of the bottomless pit) Ufunuo 9:11

Kubwa kuliko anaitwa Mungu wa dunia hii II Wakorintho 4:4 ; Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.
 
Sijaongelea kuhusu wokovu bali ile hali ya mtu kutoka mbele ya hadhira na kujitapa/ kujisifia juu ya ukamilifu. Hili sio jambo jema kwani watu wa aina hiyo hutumia njia hiyo kuficha uovu. Kumbuka Petro alimwambia Yesu, "Bwana mimi nipo tayari kwenda na wewe gerezani , hata kufa." Lakini ni yeye ndie aliyemkana. Historia ni mwalimu mzuri kwa kila mmoja wetu. Ndio maana Mungu kupitia maandiko yake anatuasa kadri anavyotuinua tunapaswa kuzidi kuwa wanyenyekevu.( Yoshua bin Sira 3:17-18).

Nafikiri nakupata unachomaanisha, lkn pia nampata aliyeleta ushuhuda.
Sijaona majivuno yake saana, na nimeona pia kujihisi kwako kwa kiwango fulani.
Ni heri kumkiri Kristu mbele za watu, lkn mleta mada ameonesha pia ametegemea juhudi zake binafsi (kufunga, kuomba, kuamka usiku etc) na kusahau kaweza yote hayo kwa neema. Lkn kwa upande mwingine ukristu sio laini kama wengi wetu tungependa uwe, kujitesa na kuumia kupo lkn tunaweza yote hayo ktk yeye atutiae nguvu.
So my dear usifeel unyonge endelea kumtumaini huyo Yesu na atatufikisha tunapokaswa kufika. Maana ndio ahadi zake, let's hold him accountable for His Word maana alisema mbingu na nchi zitapita ila Neno lake halitapita
 
Habari zenu wana jamvi,

Leo nimeamua kuvunja ukimya, nasema ukweli jamani ndugu zangu YESU ni mtamu, acheni nilewe huyu YESU mie. Yeye ni jana leo na hata mileleeee mwanzo na mwisho.

Hakuna kama yeye chini ya jua na kwingine kokote. Ni huyu Yesu aliyenipa elimu baada ya kufeli kwa mara ya kwanza form 4 na kukata tamaa kabisa, ni huyu Yesu, alinionesha njia hadi leo nina CV ya ukweli.

Ni yeye huyu aliyenipa kazi kwa muda mfupi tu baada ya kuhitimu masomo bila ujanja wowote ila kwa MAOMBI tu, ni yeye huyu aliyesimama na mimi pale kazini kupingana nao wale wote walionionyesha chuki na kunitengenezea mazingira ya mimi kufukuzwa kutokana na wivu wa elimu,.

Ni huyu YESU aliyempigania baba yangu kwa miaka 17 sasa akipita katik ajaribu lile.Ni huyu aliyenipa uzima hadi sasa naishi. Any way natamani na wewe umjue huyu MWANAUME ambaye;-

1. Sio msaliti
2. Mwaminifu 100%
3. Rafiki wa kweli nyakati zote
4. Mtimiza ahadi
5. Aliyeyashika maisha yako mkononi mwake
6. nk;

Jamani ndugu zangu tumwamini Yesu, dunia imeshatuchoka na hivyo inataka kututema tu, sasa sijui itakutema wapi, ni wakati wetu vijana tuamke na KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WETU. AMEEN.

GOD BE WITH YOU
Ndugu yangu Mungu alie Mbinguni akubariki sana kwa kujua siri hii iliyofichwa kwa wengi.
 
Ila tukiacha utani na mizaha. If you really want a bright Christian future with your girlfriend basi itabidi muishi mahusiano yenu kikristu, mvunje (kwa maombi) vifungo vyenu vya nafsi mlivyojifunga kwenye mahusiano yaliyoyapita, ambayo ni pamoja na kudenounce maneno na ahadi mlizokuwa mnafanya katikati ya mahaba words like "...mimi na wewe kitakachotutenganisha ni kifo tu..." na vitu kama hivyo.
Maana (in Pinda's voice) hakuna namna nyingine.
Mahusiano mkiwa na Yesu ni matamu kuliko chochote. I have been in both ways so I can compare

Wagalatia 5:16-25 imekaa vizuri sana!
 
Kwanza nikupe hongera sana kwa hayo ambayo Yesu Kristo Mungu mkuu aliyokutendea ....

Lakini yote hayo hayatakuwa na maana yoyote kama roho yako itapotea

Lengo la Yesu kuja hapa duniani halikuwa kutusaidia kuyarahisisha maisha ya hapa duniani ila tu tupate nafasi katika ufalme wake,haya mengine ni kama viuonjo tu ili kukufanya umuamini....

Kakufanyia hayo sio ili maisha yako yawe mepesi bali uuone ukuu wake na ubadilike na kuanza kutenda sawasawa na anavyokutaka ili ukafikie ufalme wake ........!!
 
Ni kweli kabisa kuna raha ndani ya Yesu, by his own hand he leadeth me. Jesus leadeth me......
 
yesu ni mweza yoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote........amini ufanikiwe.....nisiapo jina la yesu.....natoka na machozi ya furaha.....nakumbuka mambo mengi magumu ambayo nimepitia mpaka leo nikawa mimi ambaye nipo nimepata kila kitu ambacho nimemuomba... Nakupenda yesu.....

feelings are inevitable
 
Mimi ni mkristo pia sikuulizi kwa nia mbaya.
Wewe unasema Yesu amefanya baada ya kuhitimu umepata kazi, Sasa kwahiyo watu ambao wanamwamini kama wewe(wengi ninaowafaham) wamehitimu na hametafuta kazi kama wewe hawajapata, kwahiyo je, wao ndo vipi? au huyo Yesu mbaguzi kakusaidia wewe upate kazi halafu wao hawana kazi kawaacha?

Na kingine umepata kazi kama unavyosema ikitokea umefutwa kazi utasema Yesu amekusababisha ufutwe au kitu gani(kwasabu si unasema yesu ndo kakufanya upate kazi?)??

Naomba unifafanulie hapo nikuelewe vizuri kabisa.!

Msongo unatupeleka pabaya sana....
 
Habari zenu wana jamvi,

Leo nimeamua kuvunja ukimya, nasema ukweli jamani ndugu zangu YESU ni mtamu, acheni nilewe huyu YESU mie. Yeye ni jana leo na hata mileleeee mwanzo na mwisho.

Hakuna kama yeye chini ya jua na kwingine kokote. Ni huyu Yesu aliyenipa elimu baada ya kufeli kwa mara ya kwanza form 4 na kukata tamaa kabisa, ni huyu Yesu, alinionesha njia hadi leo nina CV ya ukweli.

Ni yeye huyu aliyenipa kazi kwa muda mfupi tu baada ya kuhitimu masomo bila ujanja wowote ila kwa MAOMBI tu, ni yeye huyu aliyesimama na mimi pale kazini kupingana nao wale wote walionionyesha chuki na kunitengenezea mazingira ya mimi kufukuzwa kutokana na wivu wa elimu,.

Ni huyu YESU aliyempigania baba yangu kwa miaka 17 sasa akipita katik ajaribu lile.Ni huyu aliyenipa uzima hadi sasa naishi. Any way natamani na wewe umjue huyu MWANAUME ambaye;-

1. Sio msaliti
2. Mwaminifu 100%
3. Rafiki wa kweli nyakati zote
4. Mtimiza ahadi
5. Aliyeyashika maisha yako mkononi mwake
6. nk;

Jamani ndugu zangu tumwamini Yesu, dunia imeshatuchoka na hivyo inataka kututema tu, sasa sijui itakutema wapi, ni wakati wetu vijana tuamke na KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WETU. AMEEN.

GOD BE WITH YOU

MUNGU akubariki sana kwa ujasiri wako na kuwa muwazi.
 
Mbona mimi siendi kanisani wala msikitini lakn niko ya hivyo ulivyojitapa kupewa na huyo Yesu,...sema uko na msongo wa mawazo tu.
 
Sijaongelea kuhusu wokovu bali ile hali ya mtu kutoka mbele ya hadhira na kujitapa/ kujisifia juu ya ukamilifu. Hili sio jambo jema kwani watu wa aina hiyo hutumia njia hiyo kuficha uovu. Kumbuka Petro alimwambia Yesu, "Bwana mimi nipo tayari kwenda na wewe gerezani , hata kufa." Lakini ni yeye ndie aliyemkana. Historia ni mwalimu mzuri kwa kila mmoja wetu. Ndio maana Mungu kupitia maandiko yake anatuasa kadri anavyotuinua tunapaswa kuzidi kuwa wanyenyekevu.( Yoshua bin Sira 3:17-18).

Sawa mkuu ni vyema, umepewa macho na masikio ya kuona na kusikia matendo na habari za za Yesu, hivyo simama ktk nafasi yako wewe kama wewe na Mungu akupiganie.
 
Mbona mimi siendi kanisani wala msikitini lakn niko ya hivyo ulivyojitapa kupewa na huyo Yesu,...sema uko na msongo wa mawazo tu.

Ohh! asante, heri wewe usiye na msongo na Mungu akubariki milele.
 
SIjasema kumpenda Yesu ni kuwa na msongo, ila maelezo ya mwandishi yanaonyesha hivyo.

Na sijasema silent killer or free P ni kuwa cool.

Duh, kumpenda Yesu ni kuwa na msongo? Ila kuwa silent killer sijui na free P is being cool eeh?
 
I feel ya, peace man:becky:, but haindoshi statement yangu ya awali.

Msongo utakuja kuwa mzuri sana pale siku Al-shabaab wamekuwekea panga shingoni ili umkane Yesu na ukristo, na hapo utamkana ili msongo uzidi kuwa mzuri zaidi.
 
I bet, waamini wachache sana wanajua hili, kiwango cha cha uamini kimefikia ukomavu wa juu sana.

Back
Top Bottom