Nimeamua kuvunja ukimya

Nimeamua kuvunja ukimya

Naona utukufu wa yesu umezidi hata wa aliyekuumba... Kazi kweli kweli...
Nimechoka kabisa.

You can not separate GOD from JESUS,when you praise JESUS automatically you praise our GOD(The mystery of Christianity)
 
SIjasema kumpenda Yesu ni kuwa na msongo, ila maelezo ya mwandishi yanaonyesha hivyo.

Na sijasema silent killer or free P ni kuwa cool.

Ulimwelewa vibaya mwandishi-walimushinda shetani kwa neno la ushuuda na damu ya mwana kondoo
 
mambo ya imani hayo., pia furahi amekuwezesha umeona jua la leo,
 
Mungu ni Mungu tu tutendewe miujiza ama tusitendewe atabaki kuwa Mungu tu.
I know his sweetness. All the time friend...
Mungu unaeweza kuongea nae wakati wote.
Unajua marafiki ukitaka kumjua Mungu vizuri soma biblia. Soma vizuri kwa utulivu usisome kwa papara tu.
Biblia tofauti na vitabu vingine inakupa taarifa na kukubadilisha pia.
Halafu Yesu alipoulizwa na wanafunzi wake Bwana tumeacha vyetu tumekufata wewe...je tutapata nini?
Yesu akajibu uzima wa milele na mara mia duniani.
Kwahiyo mpaka hapo unapata picha kuwa ni uzima kwanza wa nafsi yako mengine yanafata. Miujiza hata freemason wanafanya ndugu zangu...pesa hata waganga wanakupa .
.muhimu uzima kwanza.
Ahsanteni.
 
Hakika Ni Kweli Kweli Kabisa Ulioyasema Ndugu Juu Ya Kristo Yesu, Wapo Wengi Pia Wanaoshuhudia Kama Wewe Juu Ya Waliofanyiwa Nae Na Moja Wopo Mimi, Lakini Safari Ni Bado Hivyo Tukaze Mwendo.
 
Yesu ni mweza yoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote........amini ufanikiwe.....nisiapo jina la YESU.....natoka na machozi ya furaha.....nakumbuka mambo mengi magumu ambayo nimepitia mpaka leo nikawa mimi ambaye nipo nimepata kila kitu ambacho nimemuomba... nakupenda YESU.....

ulichokiandika na jina lako la Fedhuli haviendani

badili jina
 
Last edited by a moderator:
Uwongo dhambi kuna umri ambao kama miundombinu yako kimaisha na commitment bado iko complicated ukimpokea huyu mkuu utakuwa unadanganya...wako wapendwa kibao tunabanana nao kwenye vibanda umiza ila wakienda 'baibo' wanatubu!
Kwa hiyo bado anakandamizwa au?
 
Ni maombi yetu kwamba kila mtu amjue huyu Yesu, Yeya ndiye njia na uzima, Kila mtu atakayemwamini atapota bali ana uzima wa milele. Yeye ndiye atakayewahukume walio hai na walio wafu, Kila goti litapigwa kwake na kili ulimi utakiri ya kwamba Yesu ni Bwana. Mpe maisha yako leo. Biblia inasema, Kama ukikiri kwa kinywa chako kwamaba Yasu ni Bwana na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu utaokoka kwa maana kwa moyo mtu huamini na kwa kinywa ukiri hata kuweza kuokolewa (War 10; 9-10)
 
Kwanini umesema hivyo mkuu,kwani hutaki ujumbe wa nyumba kumi peponi siku ukimaliza majukumu uliyopangiwa duniani?
Najua Mkuu,lakini kumpokea alie juu,nafikiri mademu ndio hutupokea sisi kwa juu,sasa mimi mwanaume uniambie nimpokee alie juu daah hiyo ni balaa.Vipi wewe uliwahi kumpokea alie juu?
 
Back
Top Bottom