Nimeamua kuvunja ukimya

Nimeamua kuvunja ukimya

Kwa unyenyekevu mkubwa (huku nimepiga magoti) naomba kusema neno. Hakuna ulevi mbaya kama wa kiimani, sii leo wala jana bali tangu enzi na enzi. Na wengi wenye kutoka mbele ya haraiki /hadhira na kujisifu juu yao na kujikweza kumfuata yeye alie juu watu hawa huitumia halihiyo kama kichaka cha maovu. Yesu wa nazareth alipokuja duniani watu wa kwanza kukosana nao walikuwa ni "mafarisayo & masadukayo". Hawa aliwafananisha na makaburi yenye kung'aa nje huku ndani yakificha "uozo".

Hili ni kweli ndugu yangu na ndio maana leo hii tunasikia habari nyingi mbaya juu ya hao waliookoka, lakini hupaswi kumuhukumu mtu kwa kugeneralize, ukimshuhudia mseme, ila kama hujamshuhudia tulia tu mwache aendelee na wokovu au imani yake, hii ndio busara kuu. Maana kuna watu waliwakejeli watumishi wa Mungu badae wairudi kupiga magoti wenyewe, cha msingi ni kuzidi kuombeana tu, sisi tunawaombea vijana wote Tz.
 
Mkuu umewaza km Mimi, utakuta mtu kafanikiwa jambo fulani ambolo wengi hulitamani, basi anaongea as if wale ambao hawajapata km vile wamepotea, hawaombi, ni wadhambi nk...Binafsi naona km umefanikiwa basi waombee na wenzio wafanikiwe, si kujisifu tu kuwa wewe pekee ndo ulistahili kusikilizwa ktk sala zako

Hapa umepotoka ndugu yangu, mimi sijajisifu, namshuhudia YESU ili wale ambao hawaamini waamini, hakuna kitu kizuri kama kuelezea mambo makuu ambayo Yesu amekutendea, unawapa wengine moyo na nguvu ya kukaa kwa Yesu, na hakuna uchoyo kama kukaa kimya pale unapofanyiwa jambo na Yesu. Siku zote ktk maombi yangu huwa nawataja wengine kwanza halafu mimi najitaja mwisho, Y?, hadi leo ktk maombi yangu ya kufunga ni lazima niombe juu ya suala la ajira, wagonjwa, Tz and so on.

Mf;Ukisoma Biblia Yesu aliwaponya watu wengi sana na wakapaza sauti kuu kusifu, je walikuwa wanajisifu? No. Acha mawazo negative.
 
Nimepata Girlfriend mpya juzi hapa, sina hata miezi mitatu naye, kuna mtu mmoja aliniacha njia panda mwaka jana mwanzoni so huyu nisingependa anipite tena, kwa hiyo basi pamoja na mambo mengine ukisali nikumbuke katika yafuatayo....

Mwambie Mungu kupitia Mwanae Yesu Kristo kuwa Horseshoe Arch amehangaika sana kumpata mwenza wa maisha na Tazama baba kampata Makei wake,Mwambie baba tafadhali usimwambie Horseshoe Arch kwamba chaguo lake si sahihi na badala yake washape kwa pamoja ili waweze kuendana,hili likikamilika hakika utukufu wa Bwana utaonekana na Tazama kwa paomoja tutakuwa mstari wa mbele kumtukuza!


Horseshoe umenifurahisha, nitakuwa Mkiti wa kamati yako ya harusi usinisahau plz
 
Mkuu umewaza km Mimi, utakuta mtu kafanikiwa jambo fulani ambolo wengi hulitamani, basi anaongea as if wale ambao hawajapata km vile wamepotea, hawaombi, ni wadhambi nk...Binafsi naona km umefanikiwa basi waombee na wenzio wafanikiwe, si kujisifu tu kuwa wewe pekee ndo ulistahili kusikilizwa ktk sala zako

Mkuu hapo hajajisifia ila kamsifia Yesu aliyemsaida,hebu soma mada vizuri.
 
Yesu ni mweza yoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote........amini ufanikiwe.....nisiapo jina la YESU.....natoka na machozi ya furaha.....nakumbuka mambo mengi magumu ambayo nimepitia mpaka leo nikawa mimi ambaye nipo nimepata kila kitu ambacho nimemuomba... nakupenda YESU.....

Sasa kwanini wewe ni fedhuli
 
Back
Top Bottom