Nimeamua kutumia avatar ya kike!

Nimeamua kutumia avatar ya kike!

Jina unalotumia tuu linachana boxer na hiyo avatar ndo kabisa lazima mtu abadili shuka




Ulichofikilia xcho
 
Mmmmh hizo ni dalili mbaya.
Huku watu wanatambuana jinsia kwa Avatar.
Sikuungi mkono!!!
 
Yaani umenichekesha hadi sasa nacheka mwenyewe
umesikia kuhusu kuingizwa Mpini umekimbia huyoooo nduki kuwa wewe haumo.....Khantwe banaaa😛😀
Naogopa kutolewa nundu miee[emoji125] [emoji125]
 
Habari!

Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake

Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]
[emoji3] 'mp' ndio wapi mkuu?
 
Habari!

Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake

Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]
Naona umeanza kutamani kile anachokipata
 
Back
Top Bottom