Haiko sawa, ndoa na iheshimiwe na watu wote.
uzinifu ni mlango huo unaufungua katika maisha yako kumruhusu shetani aingie na kufanya yake. Mwombe sana. Mungu wako akupe hekima. Na pia itakuwa vyema mkamwona mtaalamu mpate na maarifa kidogo nini huwa sababu za tatizo hilo kwa mwenzako.
kuzini ndio mwanzo wa kupotea na nakuhakikishia ndoa yako na familia yako itakuwa katika hali mbaya zaidi kwa sababu kama baba na kichwa cha familia utakuwa umeruhusu shetani kuingia na dhambi kutawala nyumba yako. Ni hayo tu