Ndoa so dhehebu wala dini nishamess na msabato wa kanda ya kaskazini na mwingine wa kanda ya ziwa, ila nimeishia kuchezea vya mbavu tu.
Hofu ya mungu wanayo jumamosi tu siku zingine mizinga ileile, drama zilezile na ukizingua anakucheat kwa mpendwa mwenzake vilevile.
Watchout hizi makitu hazina formula nikuomba spiritual guidance coz only God knows who's right for you