Nimeamua kumtema mazima.

Ni wakati muafaka wa JF kuwa na jukwaa maalumu la watoto. Huko patamfaa WA KISHUA.
 
Last edited by a moderator:
Nilidani kuna lamaana unataka kutuambia kumbe ishu ni short and clear kwamba plan zako zauzinifu na dada wa M/city ziligonga mwamba ukahamua kususa jumla! Khaah!


 
Ni wakati muafaka wa JF kuwa na jukwaa maalumu la watoto. Huko patamfaa WA KISHUA.
 
Last edited by a moderator:
Hii cinema ni ndani ya mwezi mmoja tu?
Kweli watoto wa siku hizi mnamakuu, mkikutana na mwanamke mawazo ni kungoneka tu !
Uaha piga lapa sasa unataka ushauri gani, unataka kurudi huko tena?
 
amefanya vizuri kukunyima maana ulimpenda baadae mambo kuwa magumu unasema 'kwanza mtu mwenye anaelimu ndogo'.penzi haliagalii hilo broza.
 
unajua sana kuongea bwana mdogo.

Tuachane utani WA KISHUA!! Hv nisipokubaliana na mtazamo wako ni vita, maana naona km unataka kunipa za uso vile tu nipo mbali nawewe, mimi mwenzio nimekuambia ninachokiona kwenye thread yako ya pili sasa!! where am wrong??

Anyway endelea kupost kadri uonavyo ila gharama ni yako kaa ukijua hivyo, usipepese macho!!
 
makosa makubwa ni yako unaejua kuwa wanawake wenye elimu kubwa ndio wanatoa haraka na umemuacha kwa kua huwezi kukaa na mtu mwenye elimu ndogo,je elimu na mapenzi vinauhusiano gani?mi nadhani umekosa swaga za kumnasa tu,jitahidi usikate tamaa haraka
 


utoto na fiksi nyingi hapa.
 
Daaaah mjeda staili inatutesa sana hapa JF!!! Stori kama hii inaonekana siyo ndefu ilibidi utiririke moja kwa moja ili watu tuanze kutupa comment zetu chapp!!!
hahaha yule mjeda alikua nomaaaa,siku comment chochote kwenye ile hadithi yake ila chamoto nilikiona,,Chomeshwa sana mahindi,,,lol
 
Huna lolote muharibifu tu wewe,hukumpenda kweli...ulitaka game na game kakunyima umemmwaga....tuambie ukweli ulipomtokea hukuwa na dem wewe?
 
hahahahahahahah.....!:glasses-nerdy:
 
mkuu i am sure one day utakaa chini halafu utasoma haya na kujishangaa sana,..sorry, how old are you?

Na kwa taarifa yake sasa dem hana cha dada mkali wala ushu***z kamchezea game tu, kamuona mzugaj na yeye kaamua kumzuga....Kudadadek..chezea madem wa mjini wewe....
 
Haya sasa watu tukitoka na mafataki hamtuelewi....mmeona mambo hayo ya "WA KISHUA"....UTOTO KIBAO...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…