ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,011
- 61,262
umechelewa sana
Sawa mkuuHata sio kazi, haihusiani kabisa na kazi. Zaidi ni hobby, huenda haupendi movie kiasi hicho au umeanza kulose interest
Hata uwe unatumikishwa kazi kama Robot, kama unapenda movie huwezi kukosa 2hrs za kuangalia movie hata moja wiki nzima
Hajajaribu Apple TV, hatarudia NetflixUngelipia Prime
Ipoje?Hajajaribu Apple TV, hatarudia Netflix
Mi nimetumia NMB MkononiMkuu unalipiaje naomba nisaidie
Netflix hata haili bando kihivyo
Mimi natumia 720pNyooo, movies za 4k zisile bando?