Nimeamua kulipia Netflix out of curiosity

Nimeamua kulipia Netflix out of curiosity

Shida ya channel za mtandaoni ni mbili tu yaani unatakiwa kulipia kifurushi pia kifurushi bado hakikuakikishii kupata huduma bado data za internet zinaitajika na bado ata kupakua ili kuifazi kwenye flash,ssd au phone storage nayo sio jambo jepes ndiomaana kwetu apa bango kina azama,dstv,startimes na vibanda vyakuweka movies vinaitajika
 
Tunatumia Router, zina unlimited data monthly au hizi line za elfu 10 GB 10
Wengi wetu tunaangalia tu movie for entertainment, sio kwa ajili ya kurushia watu wengine waangalie au kuziuza library so tukishamaliza movie, tunahamia nyingine. Sio lazima kudownload
Napenda Netflix ilivyo organised. Kila movie unaona summary inahusu nini, unaweza kuchagua lugha kwenye anime na movies nk. Iko simple & clean
 
Napenda sana movies na animated series. Hizi ndio my number 1 entertainment lakini sijawahi kutumia legal app yoyote
Nilidhani subscription za Netflix ni expensive mpaka jana wakati nafuatilia animated series ya "Devil May Cry" Season 2 inatoka lini, nikapata idea kwa nini nisiangalia Netflix packages

Ndio nikaidownload na kukuta subscription zao ni cheap sana. Just imagine subscription ya chini kwa mtu mmoja ni $2.99 sawa na Tsh 7800 kwa mwezi, hii unastream mwisho 480p

Halafu kuna $3.99 per month sawa na Tsh 10,400/= hii unapata 720p na kutumia mwisho device moja tu

Nyingine ni $7.99 sawa na Tsh 20,850 kwa mtu mmoja, unatumia kwa devices 2 na mwisho kustream ni 1080p

Kipo cha 4K pia nimesahau bei. Nikaona kwa nini nisilipie tu ili niache kujiuliza Netflix ikoje

Nikalipia cha elfu 10 cha mwezi, I think it's a good app. No ads, very organized, kuna movie nyingi unaweza kudownload for offline use ila unaangalia ndani ya Netflix tu, kuna collection kubwa ya animated series nk

Cha ajabu nimedownload animation ya Swapped, ya muda wa kama saa 1 na dk 41 kwa MB 359 tu, halafu ni 720p na quality ni nzuri kabisa

Even though apps like Onstream exist na website za movies zipo nyingi ila nilikuwa tu curious nikajaribu nidownload Netflix nione ikoje. Not bad
View attachment 3585493View attachment 3585494
Hongera sana japo mimi sio mpenzi wa Movies/series
Mimi napenda sana Discovery channels...naweza kuzipata huko? au ni wapi naweza kuzipata?
 
Hongera sana japo mimi sio mpenzi wa Movies/series
Mimi napenda sana Discovery channels...naweza kuzipata huko? au ni wapi naweza kuzipata?
Zipo mkuu tena nyingi tu, hapo ukiscroll kwenda kulia zipo endless choices
Screenshot_20260508-113819.png
 
PIRACY FOR LIFE🔥
Pesa ya kulipia Netflix c Bora nitafute odds 3 nistake hlf nikanywe soda😂
 
Kama unakaa nyumbani sawa ila kama una shughuli zinazofanya uwe mbali na nyumbani king'amuzi na hii subscription service utaona hela inaenda usipofaidika napo
 
Kama unakaa nyumbani sawa ila kama una shughuli zinazofanya uwe mbali na nyumbani king'amuzi na hii subscription service utaona hela inaenda usipofaidika napo
Bruhh movie moja ni just 2hrs. Halafu Netflix ni ya kwenye simu ninayotumia. Sio mpaka niwe nyumbani
 
Bruhh movie moja ni just 2hrs. Halafu Netflix ni ya kwenye simu ninayotumia. Sio mpaka niwe nyumbani
Kama kazi yako siyo ya field pia ni kweli unaweza pata huo muda wa movie.

Nina mission impossible mpya tangu imetoka ila sijaiangalia hadi leo, kwenye pc ipo kwenye hard drive ipo na kwenye simu ninayo.
 
Hata sio kazi, haihusiani kabisa na kazi. Zaidi ni hobby, huenda haupendi movie kiasi hicho au umeanza kulose interest
Hata uwe unatumikishwa kazi kama Robot, kama unapenda movie huwezi kukosa 2hrs za kuangalia movie hata moja wiki nzima
 
Back
Top Bottom