Unafanya irrigation au kilimo cha kutegemea mvua mkuu?Nimeanza kilimo rasmini mwaka Jana... Na LAZIMA NITOBOE..
Mwakani nitakuja kuwapa update.
Ngoja masika iishe
Ila LAZIMA NITOBOE..!!!

Unafanya irrigation au kilimo cha kutegemea mvua mkuu?
Kama ni hivyo sawa,maana mazao ya msimu ni pasua kichwa sana mkuu,haya ya miti na matunda yapo poa zaidi.Mi nahusika na Parachichi na miti..
Haya mazao ya msimu nalimiaga watu (order) ili niwe bize..
Maana nimeacha kazi then haya ya msimu ndio yanayoni keep bize..
Mvua ikiisha narudi kwenye Parachichi zanguu...
Nguzo zinapatikana kwa wingi huko mkuu?Last time nilienda kilolo kufanya biashara ya nguzo na mbao japo mambo hayakwenda sawa.
Sipo huko muda mrefu sijajua kama bado kama zipo kwa kipindi hiki labda ujaribu mkoa wa njombe.Nguzo zinapatikana kwa wingi huko mkuu?
Tupe mrejesho mkuu umefikia wapi? Maana hapo kwenye gharama zote iwe ni 5M ni uongo ulio tukuka. We are the farmers by field sijui waandiahi humu.JF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.
Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.
Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.
Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.
Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.
Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh
By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.
This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.
Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
JF

Miaka 10 sasa huyu jama aje na mrejesho
Njoo Mapanda nikuuzie nguzo za kutosha, zipo pamoja Zaidi ya 1000 hivi.Nguzo zinapatikana kwa wingi huko mkuu?
AiseeeWakuu salama,
El nino alirudi hapa na kutoa mrejesho. Alilima eka 100 kule Turiani na akavuna gunia 10 tu, akaapa kutolima tena na badala yake akaamua kuwa middle man. Yupo Kigamboni kama unaenda Kimbiji anakula Bata Mikadi beach.
Wakuu salama,

Tupe mrejesho mkuu umefikia wapi? Maana hapo kwenye gharama zote iwe ni 5M ni uongo ulio tukuka. We are the farmers by field sijui waandiahi humu.!!
Tupe mrejesho sasa ni miaka kama 8
Pole sana Mkuu, Hakuna pasipo na changamoto.
Kiukweli waliotoka kutokana na kilimo ni wachache sana ambao ninao wajua mimi kulinganisha na walio feli.
Ila kilimo sana sana ni kujipanga na aina ya mazao unayolima na iwe commercial kweli kweli, Heka tano za mahindi ni stress tu angalau ukinzia 15 and above kidogo inaleta utofauti na wanaolima kwaajili ya mahitaji ya nyumbani tu.
Ninaamini kama una mtaji wa kutosha kukuwezesha kilima cha kisasa itakusaidia kuliko hichi kilimo cha kutegemea mvua.
Ninaamini kabla hujaendfa kwenye kilimo ulipitia shuhuda kama hizi pamoja na majarida mbalimbali kuhusu kilimo husika.
Maisha ni mapambano mkuu usikate tamaa kama ulianguka kwenye kitunguu jaribu kwenye nyanya kama ulianguka kwenye nyanya jaribu Tangawizi.
Mimi najua tatizo lipo kwenye vyeti vyetu vya shule vinatupa woga.
Alisema changamoto zilikuwa zipi?Wakuu salama,
El nino alirudi hapa na kutoa mrejesho. Alilima eka 100 kule Turiani na akavuna gunia 10 tu, akaapa kutolima tena na badala yake akaamua kuwa middle man. Yupo Kigamboni kama unaenda Kimbiji anakula Bata Mikadi beach.
HakikaMahindi irrigation itakuuwa inahitaji pesa nyingi sana, nenda mkoa wenye mvua zakutosha, andaa 5m anza na ekar 10 tu. Hakikisha umepata shamba karibu na mtu mzoefu, mbefriend kisha tembea kwenye nyayo zake. Ukivuna usiwe na haraka ya kuuza, tembea kwenye nyayo za huyohuyo mzoefu ndiyo anajua soko.
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuAnyway kilimo kinatoa ila jiandae kucmama wewe kama wewe c unaijua sirikali yetu inatuongopea tangu tunapata uhuru mpk leo kuwa kilimo n uti wa mgongo na hakijawah hata siku moja kuboresha mazngra. M n mkulima mzuri tu npo dabaga mufind iringa na songea magagura nalima mahindi karibu.