wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,590
- 29,488
Huyu anakunywa za kupima kaokota li chupa huko katia maji eti anakuja kuuzia sura .Msamehe bure tu huyu jamaa...
Wee huoni anakunywa kahawa tena ya mgogo ile inayozungushwa kutwa nzima? K.vant ina heshima yake wewe angenunua kweli asingeiweka chini hivyo na mazingira hayo ki muonekano hata kama sio yeye anaonekana hapo basi jamaa ni mnywa mataputapu
Sent using Jamii Forums mobile app