Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 843
hazina makelelehahaaa mimempiga mchina mmoja hapa job One plus ina ram 6gb storage 64gb only for 400K
Chief-Mkwawa changamoto kubwa ya one+ ni nini?
hazina makelelehahaaa mimempiga mchina mmoja hapa job One plus ina ram 6gb storage 64gb only for 400K
Nitake radhi mkuu sijawahi kutumia tecno werevaa
Hao Oppo sio mediatek?choice nzuri mkuu, oppo/huawei/xiaomi ndio brand zinazouza sana china na vitu vyao vina quality compare na michina mengine.
wanatumia mediatek na snapdragon zote zote, na hata mediatek wana soc zina afadhali,Hao Oppo sio mediatek?
haina vitu premium,
one plus wametarget sana market ya west nchi za ulaya na marekani.Ndiyo naisikia leo. Ama market niliyopo simu hizi hazipo ama kama zipo sijafuatilia sana.
LG nao naona wameanza kuhanithi simu zao G6 inakuja bila removable batteries. That is a deal killer for me. Kama nilikuwa natafuta sababu kuto upgrade nishaipata.
bei nzuri kwa hio simu,hahaaa mimempiga mchina mmoja hapa job One plus ina ram 6gb storage 64gb only for 400K
Kwa nini wanaondoa removable batteries wakati batteries za smartphone bado hazijafika uwezo wa kwenda 24 hours bila recharge?one plus wametarget sana market ya west nchi za ulaya na marekani.
lg v20 nafkiri ndio latest inayotoka battery, na kwenye highend naona kama battery za kutoka zinapungua,
Samsung is over the hill.Sis tunasubiri Note 8 tafadhali..
choice nzuri mkuu, oppo/huawei/xiaomi ndio brand zinazouza sana china na vitu vyao vina quality compare na michina mengine.
Kila shetani na mbuyu wake.Simu za adroid uwa sioni kama kuna tofauti umeluka mkojo umekanyaga mavi ona unanuka sasa ungeamua ios kidogo ingekuwa afueni
Mkuu na oppo yangu imecrack touch screen, japo bado inasense lkn sipendezwi na muonekano. (mimi kunamtu aliniletea kutoka china) Nasikia bland ya oppo sio kwa soko la kwetu vp wewe umeinunulia wap.Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.
Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.
Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.
Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.
Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!
Regards,
Extrovert.
Cc: Chief-Mkwawa
A37f
View attachment 501226
A33f
View attachment 501227
Mie nimenunua Moshi huku, possibly zimetoka NairobiMkuu na oppo yangu imecrack touch screen, japo bado inasense lkn sipendezwi na muonekano. (mimi kunamtu aliniletea kutoka china) Nasikia bland ya oppo sio kwa soko la kwetu vp wewe umeinunulia wap. View attachment 501291View attachment 501292