Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

Niko na hekari 150 na nimefanikiwa kufyeka kama 50 hivi !! Inshallah kiangazi hiki namimi nioteshe mbegu za mikorosho masika inayokuja naimani namimi ntatia mikorosho shambani kwangu🙏🙏😊 Niko jiranii saana na Itigi
Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjini

Naona mazingira yanafanana sana
Nimeingiza vibarua wanafyeka pori ili mwezi wa nane tutie kibiriti
Mvua za mwakani napanda na mimi ekari 50

Kwa anayetaka mashamba maeneo haya ainicheck inbox
Kuna ekari zaidi ya 200 zipo sokoni bei safi kabisa
 
Mambo ndo haya
Sasa
Managerial tasks
Diseases
1.leaf spot tumia madawa ya copper eg copper oxide na oxychloride
2.damping off tumia chlorothalonil, carbendazim ku prevent
3.powdery mildew tumia madawa ya sulphur
4.athracnose tumia madawa ya copper
5.fusarium wilts tumia madawa ya kukinga mfano mancozeb, chlorothalonil etc

Wadudu.....
 
Aisee tupambane saana mkuu, Wacha tuzidi jaribu fursa hii ya korosho inshallah inaweza tutoa kwenye dimbwi la umasikini
Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjini

Naona mazingira yanafanana sana
Nimeingiza vibarua wanafyeka pori ili mwezi wa nane tutie kibiriti
Mvua za mwakani napanda na mimi ekari 50

Kwa anayetaka mashamba maeneo haya ainicheck inbox
Kuna ekari zaidi ya 200 zipo sokoni bei safi kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Aisee tupambane saana mkuu, Wacha tuzidi jaribu fursa hii ya korosho inshallah inaweza tutoa kwenye dimbwi la umasikini
Kuna bwana mdogo yupo Manyoni - Sukamahela kauza kwenye mnada uluopita wa Korosho roba 160. Pamoja na kuwa zingine alinunua lakn anazo heka 45 za Korosho.

Tusikate tamaa maisha hayapo rahisi.
 
Tupeane na mbinu za kukabiriana na wanyama waharibifu ( Nyani ). Wanasumbua sana hawa jamaa
 
Tupeane na mbinu za kukabiriana na wanyama waharibifu ( Nyani ). Wanasumbua sana hawa jamaa
Nyani dawa Yao, una waekea ndizi za sumu, au unawalewesha, una wapa vyakula vya chumvi nyingi, na beseni la ulevi wakilewa tu, una kamata una funga juu ya mti na viboko juu Kwa siku 3 mfululizo wata potea hapo😂😂
 
Nashida na mbegu au miche ya mikorosho napatikana maeneo ya itigi sijui ntaweza pata Kwa bei Gani? 0699665649 Whatsapp ...!! Namimi nimeoaza hela Kwa kununua heka hamsini na kuzifyeka changamto tu ni miche
Miche hua gharama ukinunua, nakushauri uoteshe mwenyewe,kilimo ni hatua, Mimi Nina hekari 150 Kwa Sasa napanda katani, heka moja Ina beba Miche 1200-1600 Miche mmoja huuzwa 150 so Kwa heka hizo ni karibia milioni30 za Miche imebidi nioteshe mwenyewe kitalu Kwa mbegu za kununua kwenye kiroba, ukitoa laki tu au laki 2 mbegu za kutosha nimeweka kitalu Cha heka 25 itapanda eneo zima, baadae Nita acha kazi nikafanye miradi ya ndoto zangu, mshahara hautoshi kufanya intensive investment, chapa mguu, watoto wako hawato rithi ualimu watarithi hilo shamba au mradi ulio anzisha
Korosho pia nalima nime Anza na hekari 120 lindi liwale karibu sana
 
Mungu anaona jitihada tufanyazo
Tusikate tamaa
 
Na ngedere je?
Ishu ya ngedere, hua ni usumbufu sana, hata mim nimeona na pia Kuna tembo wanasumbua sana kuja mashambani kula, so nakushauri, kama una weza kuwaua ua tu, lakini usiwatupe watundike ngedere hujifunza Kwa mfano, Kuna jamaa alilima mahindi heka zake za kutosha, ngedere wakaanza usumbufu, ikabidi afunge spika, waka ogopa siku 2/3 wakarudi kuchunguza kwenye spika Kuna Nini, walipoona inaropoka yenyewe waka dondosha chini, mmoja wao (gendaeka-nyani mzee) akaichukua akawa anaita yeye mwamba ana Rudi mahindi yote yashaliwa na spika anayo ngedere ana itia wanae,weka msimamizi au dungua mmoja wa mfano
 
Ishu ya ngedere, hua ni usumbufu sana, hata mim nimeona na pia Kuna tembo wanasumbua sana kuja mashambani kula, so nakushauri, kama una weza kuwaua ua tu, lakini usiwatupe watundike ngedere hujifunza Kwa mfano, Kuna jamaa alilima mahindi heka zake za kutosha, ngedere wakaanza usumbufu, ikabidi afunge spika, waka ogopa siku 2/3 wakarudi kuchunguza kwenye spika Kuna Nini, walipoona inaropoka yenyewe waka dondosha chini, mmoja wao (gendaeka-nyani mzee) akaichukua akawa anaita yeye mwamba ana Rudi mahindi yote yashaliwa na spika anayo ngedere ana itia wanae,weka msimamizi au dungua

Sahihi Kuna umri ukifika inabidi uwe na account yenye pesa above 50m, ili uweze ku survive usipo kua nayo ndio utakapo Anza kua mzigo na kudharaulika, leo mtu ana kosa milioni40 ya kwenda India kutibiwa wakati ana fursa ya kulima na akapata kipindi Cha uzima wake, kwanini usijiandae maisha Yana leo na kesho, ukiwa unfit utaenda kazini utaweza.... ?? Wewe lima nakuhakikishia miaka 3-4 ijayo uta mua Nini ufanye sio mazingira yakuamulie kulingana na hali Yako,hata shule Yako utajenga pia
Kuna sumu jina lishanitoka niliona ninapofanyia kazi walitegwa paka walikufa vibaya mno nilikuwa najua paka hafi kwa sumu kumbe sumu zao zipo bana ....nilikuomba kwa ajiri ya kutega ngedere jamaa akasema zimeisha zikija atanipa ila akaniambia ngedere sio wa kuua nikamwambia sio ngedere ni fisi wanakula mbuzi wetu hadi wanakula na binadamu kabisa..

Ameshaniahidi atanipa
 
Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjini

Naona mazingira yanafanana sana
Nimeingiza vibarua wanafyeka pori ili mwezi wa nane tutie kibiriti
Mvua za mwakani napanda na mimi ekari 50

Kwa anayetaka mashamba maeneo haya ainicheck inbox
Kuna ekari zaidi ya 200 zipo sokoni bei safi kabisa
Kuna watu naona wanatangaza mashamba Kwa heka 50k.ni kwe?
 
Habar ya leo,

Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.

Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.

Zipo heka 40

View attachment 3149500
Kila zao kuna ukanda linafanya vizuri pia ununuzi wake ni rahisi , na mimea yote inazaa kulingana na vitu kama idea weather condition, altitude, and other favourable condition remember in agriculture we don't do fancy business
 
Mkuu hii ni nchi ya kitropiki, korosho inastawi kila mkoa wa Tanzania.
Tunapenda sana badala ya kutumia maarifa tuliopewa shuleni. Tumekazana kuiponda elimu yetu badala ya kuitumia.
Kitu kikubwa ni jinsi gani utapambana na ukame.
Sisi waafrka tunataka kuwa kama mbuzi, vipi Jangwani wapande mazao sisi tushindwe ? Kuna documentari ipo you tube inaonesha Saudi Arabia walivyoamua kuotesha mpunga Jangwani kwa kushirikiana na wachina. Ipo siku warabu watajitosheleza chakula kwa kulima Jangwani, sisi tunashangaa tu.
Unajua how many billions they throw away to sponsor thee project . Ma men even tz we have rice variety that can thrive in dry land but you cannot go far with that iterm of business perspective. Did you know about that ?
 
Nimezoea majibu kama yako. Wasomi wa Tanzania hawana mbinu za kututoa tulipo. Mie naunga mkono watu kama mtoa mada ambae ameamua kufanya tofauti. Sipendi kujadili na watu waeio na suluhisho, watu waliokwama na wasio na matumaini na kazi yao kusifia warabu; wachina na wazungu.
Tunavisingizio vingi sana, sasa ni mda wa kuweka visingizio pembeni na kufanya.
Sitaki kujadili visingizio, kama unataka tuendelee kujadili badi jadili suluhisho sio visingizio, tumevisikia tangu tukiwa wadogo. Yameamka mataifa taliokuwa nayo chini sana mpaka yameenda jiuu ila sisi bado tupo kwenye visingizio.
Msikilize Raisi Traole wa Bokinabe, "anaeema tumefundishwa kuaminishwa kuwa miradi ni ghali sana kuanzisha, hivyo tumebaki tu kusubiri wenye uwezo wafanye, kumbe ni waongo".
Mda mfupi sana Traole ameweka Kampuni ya Magari ya umeme, madawa na kilimo. Wiki hii amenunua maelfu ya mashine za kuchimba barabara.
Huko Nigeri nimemuona kijana injinia anapambana kuanzisha modrl yake ya boda. Hayo ndio mawazo chanya ya kujadili sio sijui gharama.
Tumedanganywa ili tusianze(JPM), nakushauri futa wazo la vikwazo vya gharama.
Anza hata na heka 1 kulima hizo mbegu usiwaze mabilioni hutakuja kufanya.
Sory nimendika sana.
 
Back
Top Bottom