New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,922
- 3,863
mkuu, sorry , hii katani/mkonge unalimia wapiMiche hua gharama ukinunua, nakushauri uoteshe mwenyewe,kilimo ni hatua, Mimi Nina hekari 150 Kwa Sasa napanda katani, heka moja Ina beba Miche 1200-1600 Miche mmoja huuzwa 150 so Kwa heka hizo ni karibia milioni30 za Miche imebidi nioteshe mwenyewe kitalu Kwa mbegu za kununua kwenye kiroba, ukitoa laki tu au laki 2 mbegu za kutosha nimeweka kitalu Cha heka 25 itapanda eneo zima, baadae Nita acha kazi nikafanye miradi ya ndoto zangu, mshahara hautoshi kufanya intensive investment, chapa mguu, watoto wako hawato rithi ualimu watarithi hilo shamba au mradi ulio anzisha
Korosho pia nalima nime Anza na hekari 120 lindi liwale karibu sana
nina tamaa sana ya hichi kilimo