Tatizo hii mitandao ya simu sio reliable kabisa.
Unaweza kuhamia Airtel halafu ukafika huko wakaanza kukuzingua kama Vodacom.
Nilikuwa mteja wa tigo toka wakati inaitwa buzz ni bomba, niliwasababishia usumbufu mkubwa sana wale waliokuwa na simu yangu.
Nimeamua kutohama tu japo internet ni kichomi siku hizi.
Kaka kwa internet tigo wametisha na 4G yaani unatiririka tu hata movie unawatch online hebu wajaribu
Nilibakia voda sababu ya uhuru internet ,ila kwa sasa nimetupa hadi laini yao. Wa hovyo sanaVoda wana dharau sana kuanzia wakurugenzi wao hadi wafanyakazi wao
Hawana customer care nzuri, Naskia sahv wameitoa uhuru intenet ile ya tsh 1000
Bora wakimbiwe tu
Nilishasema tena humu hao ni wezi wa mchana kweupee!Voda wana dharau sana kuanzia wakurugenzi wao hadi wafanyakazi wao
Hawana customer care nzuri, Naskia sahv wameitoa uhuru intenet ile ya tsh 1000
Bora wakimbiwe tu
Ila c ulipewa! Hamna nomaNiliripoti simu nikaishia kutongozwa. Kwa heri simu yangu note4
Wezi wezi wezi wezi wakubwa mchana kweupe....bora vibaka wanaojifichaga hawa hawafai....naweka hela nazima na data inaisha hapo hapo....yaani hawa kampuni nzima wataenda motoni kama hawatabadilika.Nilishasema tena humu hao ni wezi wa mchana kweupee!
Mimi nilikuwa na case kama hiyo lakini ilikuwa ni PUK nikaenda ofc za Tigo Mtwara, eti kupewa PUK hadi niwe na kitambulisho, namba 5 na hiyo line iliyokufa PUK niwe nayo. Mimi nadhani huu sio mwongozo wa wao bali ni wahudumu wajinga wanafanya mambo yawe complicatedSi kwamba ni utaratibu wa TCRA? Maana wizi wa kutumia simu umekithiri sana.
Pia ni muhimu ukaripoti polisi upotevu wa simcard yako, maana inaweza kutumika vibaya halafu ikakuletea shida nyingine tena. Loss report ya polisi inakusaidia wewe endapo simu yako au simcard/namba yako ikijatumika kwenye uhalifu.
Lakini kwa vyovyote vile urasimu unakera sana.
Vitoto vya kike vinavyohudumia wateja kwenye hii mitandao ni vya hovyo sanaVodacom kazi ni kwako
Kuna haja gani ya kureport polisi kama mtu ameshareport kwenye ofisi zao, kwanini wasiiblovk mara moja.Si kwamba ni utaratibu wa TCRA? Maana wizi wa kutumia simu umekithiri sana.
Pia ni muhimu ukaripoti polisi upotevu wa simcard yako, maana inaweza kutumika vibaya halafu ikakuletea shida nyingine tena. Loss report ya polisi inakusaidia wewe endapo simu yako au simcard/namba yako ikijatumika kwenye uhalifu.
Lakini kwa vyovyote vile urasimu unakera sana.
wanaokimbiza wateja ni wale wahudumu,hawana polite language kwa wateja,wamesahau kuwa mitandao inazidi kuongezeka wao bado wamestiki kwenye enzi za ttcl mtandao mmoja,wajiangalie.Heshima sana wanajamvi,
Wiki mbili zilizopita simu yangu ilikwapuliwa na watoto wa mjini kwakuwa nilikuwa na safari nyingi nje ya mkoa sikupata nafasi ya kurenew line yangu.
Leo nikaamua kwenda ofisi za Voda Uhuru road kwanza nikakutana na foleni kubwa kiofisi kidogo hewa gongana nikataka kuondoka lakini nikaona isiwe taabu ngoja nikomae.Kwanza nikapewa fomu nikatakiwa kujaza simu tano za mwisho,m pesa tano za mwisho,sijui kifurushi cha internet......Mara kitambulisho nikamaliza kupeleka fomu kwa mdada mwenye maringo ya kijinga kaona ajira ya Voda mali sana imemwezesha kupaka wanja na kubadili vigauni vya mtumba kabonyeza bonye computer kanirejeshea fomu namba za watu wa mwisho kuongea nao tatu sio sahihi nikamwambia kwakuwa mbili ni sahihi na simu iliibwa wiki mbili zilizopita si rahisi kukumbuka zote.Kachukua fomu kaandika loss report nenda polisi wakakujazie ebo nikamwambia nani kakwambia nina muda mchafu kwani Voda ipo yenyewe kwa taarifa yako nina line nyingine za mitandao 3 hizi si zama za TTCL na ukiritimba za enzi za Mwl nikachana fomu nikaitupia kwenye dustbin nikamwambia Vadacom kwaheri.
Masharti ya kupata line mpya iwapo simu imepotea/imeibwa yamekaa kizamani sana kama taarifa zangu zipo sahihi eg kitambulisho nilichosajilia simu,majina na nk yapo sawa kwanini wanaleta urasimu wa kuangaisha wateja.