Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Tambua hivi...kuwa mtunzi wa vitabu haimaanishi unajuwa kupanga maneno kiuandishi kwani kuna watu unaweza kuwapa kile unachota kuandika na wakakipanga vizuri...

Hebu chukulia kuwa hivyo alivyoandika huyo kijana hapo juu....ndivyo notice za uhandisi ambazo wewe unatakiwa kusoma.....

Ungefurahia.....
 
Ukweli hapana ni kama vile mwanafunzi wa darasa la tatu anayeitwa kusoma mbele ya mwalimu...uonga nwingi
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
Humu kuna uzi unauliza kwamba "wanaume single mother waliwatendea nini?". Wewe kama utaona kwamba huyo mtu wako akisha jifungia mtoto wa dume jingine halafu mkarudiana ni poa tu, basi endelea sasa inataka tukushauri nini?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu
hajataka maombi,ila maoni, Hapo Nazi inahusika vipi Mkuu au ulitaka useme kazi.? yote haya umekosea sababu ulitaka kuwashambulia wanaume wa mikoani, kesho jaribu ku-edit afu upost..
Siku hizi tunaitaga NAZI hapa mjini mkuu. Nazi ndio kazi. Kama umesoma kiswahili utakubaliana na mimi juu ya lugha kujipatia msamiati wake, zipo njia za kukua kwa sayansi na maendeleo pia vinachangia msamiati wa kupatikana kwa neno Nazi. Usijali subir mwakani hili neno litaingia mkoani pia si unajua limeanzia hapa mjini.
 
Dude usimwache... mrudie mwambie mtoto utamlea kama wako...
Hakuna aliye mkamilifu... amekosea ameomba msamaha inakubdi umwelewe...
Utapata baraka sana katika maisha yako

Ushauri huu ufanyie kazi pindi ukiwa ndotoni....
In real life utapasuka kichwa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu
hajataka maombi,ila maoni, Hapo Nazi inahusika vipi Mkuu au ulitaka useme kazi.? yote haya umekosea sababu ulitaka kuwashambulia wanaume wa mikoani, kesho jaribu ku-edit afu upost..
Si ushaelewa lakini!
 
Basi sawa, we endelea tu life ama veeepee
 
Mnavyoanzaga kuandika 'Mimi ni fulani..niko hivi na vile...nilikuwa na huyu na yule'....utadhani mlifundishwa na mwalimu mmoja jinsi ya kuandika!
Haha!! Moja ya viashiria kwamba ajira hakuna. Watu wanaandika sana barua za kuomba kazi,, na opening statement zao ndio hivyo "mimi ni so and so wa kitanzania bla bla bla" ..ukishaandika barua za kutosha inakuwa kama reflex sasa,, lazima uanze hivyo. Hata ukiomba ufunguo wa kwenda uani unaweza jisahau ukafanya hivyo tena!!
Natania tu, ila kuna chembe ya ukweli
 
Mnavyoanzaga kuandika 'Mimi ni fulani..niko hivi na vile...nilikuwa na huyu na yule'....utadhani mlifundishwa na mwalimu mmoja jinsi ya kuandika!
Mim ni Anitha natokea Mpanda,elimu yangu ni la saba ,natafuta mchumba kigezo awe handsome tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mim ni Anitha natokea Mpanda,elimu yangu ni la saba ,natafuta mchumba kigezo awe handsome tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda mahendsamu wewe eeh
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
..ww jamaa ni mkata majani hapo SUA, ..huo uandishi duuuh!..
 
Back
Top Bottom