Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
Umeshahamua then unatuomba maoni, after all ume graduate mwaka jana hii ina maana nilivyokuwa la saba ulikuwa hujazaliwa, omba ushauriwe maoni kwa mambo ya maana
 
Yaani kama huu ndio uandishi wa mtu mwenye degree....bado tunasafari ndefu sana kielimu kama taifa...

Labda kama ni degree za joto....
Umeona mbali mkuu,imenbdi niirudie upya.Nmegundua keyboard yke haikua na alama za uandshi wakat anaandka mada.
 
Back
Top Bottom