Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Endelea kupigania penzi lake kwani ameshakuomba msamaha na amekiri makosa yake.kuwa na mimba/mtoto sio mwisho wa mapenzi ya dhati
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!

Kwa hyo unataka tukutaftie mke/dem/mchumba mwingine ??
 
kwani mwenye k**a dunia hii ni yeye pekeyake?
au mwenye upendo ni yeye tu?
tafuta mwingine, huyo sio wako tena.
 
Are you for really? Yani bado tena unataka na ushauri? tukikwambia msamehe na umrudie na wewe utatusikiliza? hivi unajua why ameamua kukwambia kuhusu huo usaliti na mimba? kwasababu amekuhurumia tu so amekupata sababu ya wewe kumuacha, no wonder she played you, wanawake tunapenda wanaume wenye msimamo, sio hivyo bwana.
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!

Piga chini kabisaaa
 
Kama wasomi wetu ndiyo hawa Dr Magufuli chukua tu wataalam wa IT kutoka Rwanda hamna namna,
 
Mapenzi bwana,wengine usiku na mchan wanasaka ndoa,wengine wanaumiza wenzao,pole piga moyo konde mungu atakupa aliye sahihi kwako japo inauma ila jikaze mtoto wa kiume
 
Haya mapenzi ya kujenga vibanda yatakuumiza sana cku iz tunapga mapenzi ya fursa kula papuchi na kusepa mambo yakupeana stress nan anataka
 
Fanya ulichoamua lkn pia kwa mabinti wa cku hizi sahau kupata wa peke yko
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
Please..!!! kama hutajali nakuomba u-change Avanter yako, kama lazima iwe ya ku-reflect Center of Excellence (SUA) basi weka kati ya hizi
SUA 1.jpg
SUA 2.jpg
SUA 5.jpg
281878~1.JPG SUA 6.jpg SUA 4.jpg

Instead of using the working University Log SUA 3.jpg
 
Back
Top Bottom