Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Huyo mwalimu wako akiona namna unavyo andika hiviii....[emoji69] [emoji69]
Anyway.....
Wewe kama tayari unao ushaidi wa kusalitiwa na mchumba wako, na tayari anaujauzito wa mwanaume mwingine.
Hapo unaomba sisi tukupe maoni gani au tkushauri nini?
 
Mmhh huu muandiko sijui iyo degree umeifikaje..... Usingeanza majisifu buanaaa
 
Wanawake woote sawa hata ukimpata mwingine yaleyale tu
Pole Sana watu wamemkunja we unaremba
 
Yaani kama huu ndio uandishi wa mtu mwenye degree....bado tunasafari ndefu sana kielimu kama taifa...

Labda kama ni degree za joto....
Mkuu siyo akili hiyo. Msamehe bure kachanganyikwa. Si unajua mapenzi yanavyotesa?
 
Unajua mapenzi yanaumiza sana. Alipo siyo akili yake kbsa.
Pole sana. Unajua hakuna kitu kigumu kulea mimba ya mwanaume wenzako. Lbda km ulimkuta hivyo lkn mimba ikipatikana ndani ya penzi. Hakuna mwanaume atakaye himili hili zaid ya kuondoka.
Unajua wanawake huwa wanadanganyana sana
 
Tabua kuna tofauti ya degree huenda ni ya uhadisi na sio uandishi wa habari au Sanaa.

Ina maana wahandisi ndio hawatikiwi kuandika kwa kufuata kanuni z kiuandishi...!!?

Kama vya uhandisi vingeandikwa kama huyo bwana mdogo alivyoandika ni nani angefurahia kusomea uhandishi.....!!!!??
 
  • Thanks
Reactions: lup
Ina maana wahandisi ndio hawatikiwi kuandika kwa kufuata kanuni z kiuandishi...!!?

Kama vya uhandisi vingeandikwa kama huyo bwana mdogo alivyoandika ni nani angefurahia kusomea uhandishi.....!!!!??
Kuna tofauti kati ya Pima........ Kuandika habari na hiyo ndio inaathiriaisha kwa ujumla
 
Kuna tofauti kati ya Pima........ Kuandika habari na hiyo ndio inaathiriaisha kwa ujumla

Kwa hiyo mkuu...point yako nini...!!?
Ni kwamba ni halali huyo jamaa kuandika hivyo....!!??
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kwa hiyo mkuu...point yako nini...!!?
Ni kwamba ni halali huyo jamaa kuandika hivyo....!!??
Masomo take ndio yanampa uhalali kama alichukuwa taaluma ya uijinia ni sawa kuandika hivyo ila kama taaluma ya ni ya sanaa na uandishi wa habari..kweli hayukk sawa
 
Masomo take ndio yanampa uhalali kama alichukuwa taaluma ya uijinia ni sawa kuandika hivyo ila kama taaluma ya ni ya sanaa na uandishi wa habari..kweli hayukk sawa

Unaweza kuniwekea japo paragraph moja ya kitabu cha uhandisi.....!!!??
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Unaweza kuniwekea japo paragraph moja ya kitabu cha uhandisi.....!!!??
Tambua hivi...kuwa mtunzi wa vitabu haimaanishi unajuwa kupanga maneno kiuandishi kwani kuna watu unaweza kuwapa kile unachota kuandika na wakakipanga vizuri...
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom