Nimeamua kuachana na CHADEMA

Nimeamua kuachana na CHADEMA

Manchester United FC
Mkuu Ngongo vuta subira tusubiri busara za viongozi wa dini kwani week 3 sio mbali.Kumbuka viongozi wakuu waliokamatwa juzi walishurutishwa kwenda kuripoti central kesho.Huu ulikuwa ni mtego ni busara na hekima imetumika kiongozi.
 
Nash
Kuna msemo heri lawama kuliko fedhea... Mbowe alishasoma fedhea inayokuja, imagine unaingia mtaani na watu kumi wanaokuunga mkono wengine wapo pembeni wanashangaa na kuchukua picha za kurusha insta na fb... Kiukweli Chadema ya leo sio Chadema ya Dr Slaa.. Kuna siku mtakuja kumkumbuka Slaa japo leo mnamtusi matusi yote ila kile kichwa kilishafanya calculations na kuona yote haya wakati nyie mnawaza kura za ulipo tupo.
Nashanga wanaoililia chadema ya Dr. Slaa iliyo sababisha mauaji kwa wanachama kila Mara kwa kukaidi agizo la jeshi la polisi. Naipongeza chadema ya sasa inayoonekana kutii sheria na amri za jeshi la polisi.
 
Hakuna jambo waliliwahi kufanya Chadema wakafanikiwa. Wameshindwa Chaguzi zote toka chama kimeanzishwa. Kama unaakili hakuna haja ya kuendelea kuugulia maumivu yasiyo ya lazima. Hama tu mkuu.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo tarehe 31/08/2016 nimeamua kuachana na CHADEMA na kujishuhulisha na masuala ya michezo tu hasa mpira wa miguu.

Nilikuwa shabiki wa siasa bila kuunga mkono chama chochote cha siasa,kama mtanzania hata kama si mpenzi wa vyama bado nilikuwa na wajibu wa kuunga mkono jambo ninaloliona lina manufaaa kwa taifa.Tamko la viongozi wa CHADEMA la kututaka tuandamane nilikubaliana nalo kwa asilimia 100%, kwasababu madhumuni yake yalikuwa kupigania utawala wa sheria,kulinda uhuru wa kupasha habari,uhuru wa kusikia maoni kutoka vyama vyote si chama kimoja tu uku vingine vikizuiliwa hii ni hatari sana.

Viongozi wa CHADEMA walitangaza rasmi tarehe 01/09/2016 yangefanyika maandamano na mikutano nchi nzima.Makamanda walitumwa sehemu mbali mbali za jamhuri ya Tanganyika (Zanzibar ni nchi nyingine hainihusu) Ngongo na wapigania demokrasia hawakuhitaji kuhamasishwa na makamanda toka makao makuu tayari tulishafanya maandalizi ya kutosha ikiwa ni pamoja na kufanya mazoezi ya kukimbia kilometa kumi kila siku asubuhi ili kuuweka mwili katika hali ya utayari kukabilia na nginja nginja ya Polisi.

Tulishanunua mafuta (sina uhakika kama yangesaidia) kwaajili ya kuilinda ngozi dhidi ya maji ya washawasha,tulisha nunua miwani isiyopitisha hewa kwaajili ya kujilinda na mabomu ya machozi (sina hakika kama zingesaidia) kwa ujumla maandali yalikuwa yamefikia 95% ghafla bini vuuu Kamanda anahairisha maandamano ?

Hii haikubaliki nasema haikubaliki kabisaa lazima viongozi watambue wajibu wao katika kila matamko yao si unatamka leo hivi kesho unatenda vingine.

Mwezi mmoa aliotoa kamanda wetu Mbowe hauna maana makamanda wameswekwa rumanda, wanachama na wapenzi wamejiandaa vya kutosha hatuna uhakika na hizo siku 30.
Kwani ulipojiunga na CDM ulitujulisha? Huo ni uamuzi wako na haki yako kikatiba huna haja ya kupiga kuhangaika kutangaza.
 
Ni vizuri sana na maamuzi mazuri ya Kisiasa kwa CHADEMA .hii Nchi ni ya Watanzania wote wa Vyama vyote,la kama imeonekana kutaleta matatizo zaidi kwa upande zote basi hakuna budi upande mmoja ukajichukulia jukumu la kulinda Amani kwa Tanzania ,ukiona mwenzako mjanja wewe jifanye mjinga basi mtafika ,lakini wote mkijifanya wajanja amtofika mbali ,safi sana CHADEMA kwa maamuzi yenu mmekomaa Kisiasa.
 
Manchester United FC
Ni kawaida yako kuhama hivyo hatukishangai..

Ulikiwa shabiki wa Arsenal hapo awali ila ulipoona kuwa ni team uchwarraa ikaamua kuachana nayo na kuamia Manchester United.
Ila ni haki yako kikatiba. poleeee
 
..lengo la maandamano ni kufikisha ujumbe wa kupinga udikteta kwa wananchi.

..naamini ujumbe umefika pamoja na kwamba maandamano hayajafanyika.

..mikutano na maandamano yangefanyika bila shaka Polisi wangeingilia na kuumiza waandamanaji.

..uamuzi wa Kamati Kuu umewanyima Polisi nafasi ya kutekeleza uovu wao dhidi ya wanachama wa CDM.
Sizitaki mbichi hizi
 
Ni kawaida yako kuhama hivyo hatukishangai..

Ulikiwa shabiki wa Arsenal hapo awali ila ulipoona kuwa ni team uchwarraa ikaamua kuachana nayo na kuamia Manchester United.
Ila ni haki yako kikatiba. poleeee
Dhambi ya kuacha
 
Sasa hawa viongoz walpe hela walzotimia kuzunguka nchi nzima et wanaenda kuratibu IKUTA ili hal wanajua kabsa n danganya toto
Walikuwa wanabong'oa Ruzuku ya Chama Mkuu.!
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo asubuhi nimepata simu kadhaa toka kwa viongozi wa vyama viwili CCM & CHADEMA sijui number yangu ya simu waliipata vipi nasema sijui (hili nawaachia wataalamu wa IT wanaweza kunijuza)

Viongozi wa CCM walikuwa wakifurahia uamuzi wangu wa kuachana na SIASA za vyama lakini wakanisihi sana nijiunge na chama chao kwasababu wameona ninaweza nika add value katika chama chao.Nikawauliza maswali kadhaa pengine majibu yake yangeweza kunishawishi kujiunga na chama hicho kikongwe kusini mwa jangwa la Sahara na bara la Afrika kwa ujumla wake.

a. CCM kama chama cha siasa kipo tayari kuacha demokrasia kuchukua mkondo wake
i,Kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa bila vikwazo.
ii,Kupinga hoja za vyama vya upinzani kwa hoja na si kutumia vyombo vya dola.
iii,Kurekebisha sheria za mitandao na kuhakikisha uhuru wa kupashana habari unalindwa.

b. CCM na viongozi wake kuhakikisha wanafuata sheria za nchi.
i,Kwakuwa KATIBA ndio sheria mama na Rais alipokabidhiwa madaraka yupo tayari kulinda.
ii,Serekali ya CCM kuhakikisha bunge linaendeshwa kwa mujibu wa sheria na kanuni zake.
iii,Wale wote waliohusika kumshauri RAIS vibaya wanawajibika.

Majibu niliyopewa yalikuwa ya hovyo kabisa nikawaambia huko siji kamwe mtanisamehe sana siwezi kufanya kazi za Prof Lipumba ingawa mimi ni darasa la sita A lakini nina akili kuliko Prof wa uchumi.

Maongezi na viongozi wa CHADEMA ayalikuwa mazuri yenye ushawishi ni kwanini wamesitisha UKUTA.Sina hakika kama ni kweli lakini wamedai eti viongozi wa dini waliwasihi sana wasitishe maandamano (Nitalifanyia kazi mwenyewe nitakutana na viongozi wangu wa dini wanijuze kama ni kweli kazi ya kuhudumia kondo ni pana kiasi hicho).

Swali moja tu niliwauliza viongozi wa CHADEMA lakini nilikosa majibu yanayokidhi viwango vyangu vya ufikiri.

Mlipotangaza UKUTA tarehe 01/09/2016 Mlifahamu uzito wake au mlitangaza tu.Mlitarajia serekali ya JPM ingelala usingizi,mlitarajia mgeitwa IKULU kunywa juice au mlitarajia nini ?.Majibu niliyopewa yalikuwa mengi lakini yote hayakukidhi viwango vya kamati kuu (wanasiasa ambao wengine walishashika wadhifaa wa waziri mkuu....)

Bado uamuzi wangu wa kususa upo pale pale.Ingawa nimepenyezewa habari kwamba Mama wa Taifa (Mke wa Mwl Nyerere) alihusika kushawishi CHADEMA kusitisha maandamano sina hakika kama ni kweli ngoja nimwite mtoto wa Mwl Yericko Nyerere labda akithibitisha naweza kurejesha moyo na kuwasamehe viongozi wa CHADEMA dhambi ya kubadili gear angani.
 
Nash

Nashanga wanaoililia chadema ya Dr. Slaa iliyo sababisha mauaji kwa wanachama kila Mara kwa kukaidi agizo la jeshi la polisi. Naipongeza chadema ya sasa inayoonekana kutii sheria na amri za jeshi la polisi.
Ile ilikuwa Chadema ya Ukweli, Wasomi waliiunga mkono, Vyombo vya usalama viliieshimu Chadema, wananchi walikitetea chama popote pale kwa gharama zao.

Ilikuwa ni kama dhambi kukisema Chadema hadharani.... Rejea mafanikio uchaguzi serikali za mitaa watu walivyopata mwamko hatimaye Chadema kwa mara ya kwanza kukitikisa chama tawala serikali za mtaa.

Sio hii Chadema ya Mbowe na Lowasa, hata haijulikani dira yao ni ipi zaidi kutaka umaarufu kwenye vyombo vya habari tena wa mda mfupi.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo tarehe 31/08/2016 nimeamua kuachana na CHADEMA na kujishuhulisha na masuala ya michezo tu hasa mpira wa miguu.

Nilikuwa shabiki wa siasa bila kuunga mkono chama chochote cha siasa,kama mtanzania hata kama si mpenzi wa vyama bado nilikuwa na wajibu wa kuunga mkono jambo ninaloliona lina manufaaa kwa taifa.Tamko la viongozi wa CHADEMA la kututaka tuandamane nilikubaliana nalo kwa asilimia 100%, kwasababu madhumuni yake yalikuwa kupigania utawala wa sheria,kulinda uhuru wa kupasha habari,uhuru wa kusikia maoni kutoka vyama vyote si chama kimoja tu uku vingine vikizuiliwa hii ni hatari sana.

Viongozi wa CHADEMA walitangaza rasmi tarehe 01/09/2016 yangefanyika maandamano na mikutano nchi nzima.Makamanda walitumwa sehemu mbali mbali za jamhuri ya Tanganyika (Zanzibar ni nchi nyingine hainihusu) Ngongo na wapigania demokrasia hawakuhitaji kuhamasishwa na makamanda toka makao makuu tayari tulishafanya maandalizi ya kutosha ikiwa ni pamoja na kufanya mazoezi ya kukimbia kilometa kumi kila siku asubuhi ili kuuweka mwili katika hali ya utayari kukabilia na nginja nginja ya Polisi.

Tulishanunua mafuta (sina uhakika kama yangesaidia) kwaajili ya kuilinda ngozi dhidi ya maji ya washawasha,tulisha nunua miwani isiyopitisha hewa kwaajili ya kujilinda na mabomu ya machozi (sina hakika kama zingesaidia) kwa ujumla maandali yalikuwa yamefikia 95% ghafla bini vuuu Kamanda anahairisha maandamano ?

Hii haikubaliki nasema haikubaliki kabisaa lazima viongozi watambue wajibu wao katika kila matamko yao si unatamka leo hivi kesho unatenda vingine.

Mwezi mmoa aliotoa kamanda wetu Mbowe hauna maana makamanda wameswekwa rumanda, wanachama na wapenzi wamejiandaa vya kutosha hatuna uhakika na hizo siku 30.
Mbona watu Kama nyinyi chadema hawana sasa unavyodai unahama tunashangaa ulikuwa chadema ipii, wewe ni Lumumba mnae ishi kwa buku Saba na mnajipa kiburi kwa kutegemea polisi huna haja ya kumkubali mboe kwa lolote lile.
 
Back
Top Bottom