Mbona watu Kama nyinyi chadema hawana sasa unavyodai unahama tunashangaa ulikuwa chadema ipii, wewe ni Lumumba mnae ishi kwa buku Saba na mnajipa kiburi kwa kutegemea polisi huna haja ya kumkubali mboe kwa lolote lile.
Kuna msemo heri lawama kuliko fedhea... Mbowe alishasoma fedhea inayokuja, imagine unaingia mtaani na watu kumi wanaokuunga mkono wengine wapo pembeni wanashangaa na kuchukua picha za kurusha insta na fb... Kiukweli Chadema ya leo sio Chadema ya Dr Slaa.. Kuna siku mtakuja kumkumbuka Slaa japo leo mnamtusi matusi yote ila kile kichwa kilishafanya calculations na kuona yote haya wakati nyie mnawaza kura za ulipo tupo.






Mfano upi?Dr Slaa ni mpinzani ataebaki kama mfano kwa miaka mingi sana.. Tuombe uzima tu!